Nina uhakika mwakani ni muda wa malalamiko mengi kwa waamuzi, Karia na TFF

Wee shabiki was yanga, kaa kwa kutulia, ko Yanga ikikosa ubingwa bas marefa hawako perfect, ila ikipata ndo wako vizurii??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahaba wazi wazi sahiviiii.
 
Unakumbuka juzi walipokalishwa na mwarabu wakatukabidhi mvua wana msimbazi.Na walipotolewa wakaanza mara goli la ugenini mara fainali iwe moja.Wakati ingekuwa moja mechi ingeishia Bongo.Waliniudhi zaidi walipomuomba yaya toure awasaidie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…