cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee shabiki was yanga, kaa kwa kutulia, ko Yanga ikikosa ubingwa bas marefa hawako perfect, ila ikipata ndo wako vizurii??Kwa hiyo Tanzania ina marefa perfect? Tukubaliane kuanzia hapo ili tusisikie kelele za kubebwa na mbeleko.
Mashabiki wa hizi timu 2 hamjitambui wala msitupigie kelele. Mashabiki wa Yanga ni maarufu Kwa kulalamikia marefa, mashabiki wa Simba ni maarufu Kwa kuhamisha magoli ya udhaifu wa timu yao na kuita Kila ushindi wa Yanga ni wa kubebwa na marefa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mahaba wazi wazi sahiviiii.