Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu"

"Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado tutaendelea kuwa Masikni, Ajira Kukosekana, Kutawaliwa na Wakubwa duniani huku tukiwa tegemezi kwa Maendeleo yetu
"

Usijali sana Genius Rais Museveni wakati wana EAC wengi tukijikita katika kuizungumzia Hafla ya Uapisho wa 'Hustler' jana na Kushangiliwa kwa Mtoza Tozo Umiza wa Kizanzibari Wanao akina GENTAMYCINE tulikuelewa sana, kujifunza na sasa tunayafanyia Kazi kwani ulisema ( ulitupa ) Madini ya uhakika na Kuamini kuwa Wewe ( Rais Museveni ) ni Hazina Kubwa ya Kifikra kwa Waafrika na Bara zima la Afrika.
 
Asiondoe watu/waganda kwenye agenda. Anapaswa sasa a step down apishe akili mpya. Atuambie kwanza hizo rasilimali chache na population ya ya waganda over 30 million ameiongoza je kuleta ustawi wa watu na nchi yake.

Usipokuwa mwaminifu kwa kile kidogo ulicho nacho hata ukipewa kikubwa ni kazi Bure. Asitafute kichaka Cha kujificha hapa.
 
Babu hana content yoyote yule miaka yooote mawazo hayohayo tu, ukishajiona unaamini wewe pekeyako ndio mwenye akili kuliko wengine huo ni upunguwani, amechoka anatakiwa kupumzika sasa, NO content at all
 
Asiondoe watu/waganda kwenye agenda. Anapaswa sasa a step down apishe akili mpya. Atuambie kwanza hizo rasilimali chache na population ya ya waganda over 30 million ameiongoza je kuleta ustawi wa watu na nchi yake.

Usipokuwa mwaminifu kwa kile kidogo ulicho nacho hata ukipewa kikubwa ni kazi Bure. Asitafute kichaka Cha kujificha hapa.
Usihangaike na hilo wewe uachie muda utamuondoa.

Muda utampatia uzee na uzee utamwambia sasa Museven huwezi tena.

Akiendelea kubisha magoti yatakataa kusimama.

Akibisha mdomo utakuwa mzito kuongea na akigoma macho yatamalizia mchezo kwa kukataa nuru...wewe tulia mkuu
 
Back
Top Bottom