GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge.
Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu wenye sifa huku akiwaonya kutoshitukiza wakati wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Machi 11, 2025 jijini Dodoma katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 39 wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (Alat).
Chanzo: mwananchi_official
Ushauri wangu wa bure Kwenu wenye Nia acheni na bakieni katika Nafasi zenu kwani Makonda ni Shuhuda mzuri sana.