Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4

Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4

ilogelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
749
Reaction score
727
Habarini wakuu
Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4. Kwa anayeyejua mahali wanapouzwa naomba anisaidie pia kujua bei ikoje.

Ninatanguliza shukrani za dhati
Asanteni
 
Mfumo wa kulea vifaranga vichanga kwangu haujakaa vizuri
 
Habarini wakuu
Nina uhitaji wa kuku wa mayai wenye umri wa miezi 4. Kwa anayeyejua mahali wanapouzwa naomba anisaidie pia kujua bei ikoje.

Ninatanguliza shukrani za dhati
Asanteni
Watafute Afrgreen ndo wanauza ila bei imesimama kama behewa la itigi hasa kipindi hiki
 
Watafute Afrgreen ndo wanauza ila bei imesimama kama behewa la itigi hasa kipindi hiki.
Nakushukru mkuu
Naomba kujua japo makadirio ya bei zao yakoje. Na address zao please kama utaweza kunisaidia
 
Back
Top Bottom