Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Sijakuona wa ajabu; kwa sababu kila mmoja wetu anakosea. Wewe unataka kuacha yes; hongera kwa hilo; ila pia usihalalishe ulichokuwa unakifanya. Meaning unaona kuchepuka ni sawa tu as long hauchepuki to the extent ya mlivyo na mchepuko wako. So inawezekana kabisa ukapata mchepuko mpya na bila kuelewa ukajikuta tena kwenye situation kama hii au mbaya zaidi na hata ikamuaffaect mkeo hadi akajua pamoja na kujitahidi kwako kumuheshimu pyeeee

Huna tofauti na wanaume wengi tu waliokupinga humu; imewauma kwa sababu tu wamejiweka kwenye nafasi ya huyo mume mwenzio. Ila na wenyewe kuchepuka ni nature yao, ila kuwe tu na heshima hehehe.
Btw ukiona tunakuattack sana; em achana na attacks; chukua mawazo +ve yafanyie kazi
 
Vaa kiatu cha huyo mumewe. Geuza hicho unachofanya awe anafanya yeye na mkeo, utajisikiaje?

Karma is always around it will turn back to u very soon.!!
 
Kitendo cha kumtafuna siku ya harusi yake hapa mkuu ulifanya makosa ya kumkomoa tu jamaa. Lengo lilikuwa ni nini hasa hapa kwenye siku ya ndoa yake. Dhaaa mkuu ila gharama ya hii issue lazima uilipe kabla hujaondoka duniani
Kuna vitu huwa tunavikuza tu kwa sababu tofauti zetu za kufikiri. Kumbuka huyu ni dem wangu miaka 2 nyuma kabla hata huyu hajamuona. Huyu mpka anamchumbia alijua km siyo bikra,kwa sababu aliambiwa km alishaolewa,na pia ana mtoto mmoja. Na wakati anamchumbia alikuwa na zaidi ya miaka 2 yupo kwao. Unategemea angebaki bila mtu!?? Na kuna kitu kimoja ngoja nikuambie,huyu jamaa alichumbia lkn K hakupewa hadi alipofunga ndoa. Hili jambo me nilikuwa siliamini kabisaa,lkn baada ya kuwa kwenye ndoa kuna siku tukawa tunabishana na dem kuhusu hilo namwambia ww ulikuwa unanidanganya,dem akasema subiri nampigia simu ss hv. Dem akampigia simu jamaa akamwambia aisee tunaubishani hapa kazini me nawaambia me Mme wangu tumechumbiana bila kufanya mapenzi hadi siku ya ndoa eti wanakataa. Jamaa akasema weka loudspeaker niwaambie,wakati huo dem anarecord. Jamaa akaanza kusema kweli me na mke wangu tumechumbiana miezi 10 lkn hatukuwahi kukutana kimwili. Siku ya ndoa tulikuwa na sherehe 2,sherehe ya ndoa na sherehe ya tendo lenyewe. Kisha dem akanitumia hiyo clip na nnayo hadi leo.

Kwa hiyo yule alikuwa mchumba lkn me nilikuwa muda wote. Km ni dhambi haiwezi kuwa kubwa tu siku hiyo. Kwa sababu nimeifanya kwa siku nyingi tu. Hata ss hv huwa anatoka kazini anapita me napiga ndo anaenda kwake..tuongelee kupata ufumbuzi km ni dhambi kwa huyu dem me nimefanya za kila aina. Sema siwezi kueleza kila kitu.
 
Mkuu nadhani sasa umenielewa vizuri sana..me nataka nikuhakikishie,hili jambo me linanikera kuliko watu wanavyodhani. Na km ningekuwa nataka mchepuko mwingine ningekuwa nimefanya hivyo kitambo tu,lkn nimejifunza mengi sana kwenye huu uhusiano na huyu mzaramo trust me. Ukiacha mambo mabaya ujue hata mambo mazuri mengi tu nimefanya naye. Huyu nilimjengea uwezo wa mambo mengi sana,sikutaka kuyasema hayo nimempeleka chuo,nimemtafutia kazi,na anabiashara ambayo mm ndo nilimfungulia na mwanaume wala haijui hiyo biashara na ni biashara kubwa tu. Lkn me wala sina shida kabisa na hivyo vitu wala sijawahi kuumia kumsaidia. Kwa sababu haikuathiri maisha yangu...kwa sasa nna nia ya dhati kabisa ya kumuacha lkn tatizo lipo kwake na mama yake.

Wao sasa ndo wanaangalia mambo mengi,ndo maana kwenye maelezo yangu sikutaka kuyaweka haya ya vitu kwa sababu watu wangeegemea huko kuwa anabaki kwangu kwa sababu ya fedha. Lkn ukweli hata kumpa pesa nilishaacha kitambo,badala yake yy ndo huwa anahangaika kufanya vitu mbalimbali.
 
 
mungu pekee ndo anajua jinsi ya kukupa azabu na wewe bila kujua mkeo nae wanakula watu
 
Wasiothubutu kugusa wala kushika kabisa simu za Wake zao wanakushaurije kwanza[emoji848]
 
Hapa ndipo ss twapaswa tuwe na wasiwasi sometimes maana kuishi na Ke kwa akili siyo kuwaamini tu sana kupita kiasi.
 
Binti ni janga la Taifa, hujasikia kuwa kabla hajawa na Mtoa mada tayari alishaachika akiwa single Mother[emoji848]

"Stand for the truth always stand alone"
Daaah kwa kweli inasikitisha sana yaani hawa wanawake. Au mumewe sio rijali.
 
Binti ni janga la Taifa, hujasikia kuwa kabla hajawa na Mtoa mada tayari alishaachika akiwa single Mother[emoji848]

"Stand for the truth always stand alone"
Kuachika sidhani km ni issue kubwa,kwa sababu hata huyo aliyemuoa naye aliwahi kuoa wakaachana..tena yy alioa mwezi wa 2 wakaachana mwezi 7.mwaka 2017. Kuachana siyo issue kubwa mazee, inategemea kwa nn mmeachana. Unaweza kuona kwa mfano tatizo langu jamaa halijui lkn anaishi Kwa Amani tu na mke wake. Mm ndo nnayeteseka kwa sababu me ndo najua kila kitu.
 
Mshaur huyo mwanamke aachane na mumewe, niheri aachane nahuyo dogo kuliko michezo mnayo cheza
 
Dah, mpaka mumewe anaandika sms hiyo , dhambi sana wakuu ndoa bado changa sana unaisambaratisha, siku ya ndoa unatembea nae, dah dah dah dah dah dah dunia hii,
Ushauri wangu: mkuu we ni mwanaume na unajua madhara na hatari ya mfanyacho, kuwa na msimamo mwache huyo mwanamke maana ni hatari kwako na kwake, bora utafute mwingine asiye mke wa mtu ufanye lakini sio kwa huyo. Maisha haya tunapita tu mkuu kuna hukumu inakuja baada ya haya maisha lazima uangalie roho yako waipeleka wapi
 
Kama unaweza tafuta mtu unayemuamini amdate huyo demu ili kumtoa kwenye ramani yako, sema MOYO wako utaweza kuachilia.?

Jipe Moyo Mkuu.
 
Ingia kwenye maandiko matakatifu usome adhabu inayomstahili mtu anaetembea na wake za watu,hii itakusaidia kuweza kumuacha...
 
Embu chukulia wewe kama mke wako angekuwa analiwa na mtu mwingine ungejisikiaje. Ndio maana Mimi mke wa MTU sitakagi kabisa wengi wamejirahisisha kwangu na kuahidi kunipa mambo Ila nikikumbuka Ishu hiyo nafsi inanisuta na wala sitaki Kula mke wa mtu . Kibaya chochote unachofamfanyia mwenzio geuza kibao kama ingekuwa unafanyiwa wewe uyafeel maumivu Kwanza.
 
Hapo mwanamke pia nae Ni tatizo na huyo mama pia.

Kwanini wakubali aolewe na mwanaume mwngne kumbe hawampendi???

Hivi mfano ungekuwa ww ndo unafanyiwa hivo ungejiskiaje??





Tatizo
TUNAOA WAPENZI WAWATU
Asilimia kubwa ya wanawake wanaoolewa hua hawajapenda mtu anaemuoa,wengi wanaolewa kwa presha ya kutaka ndoa tu,mazingira ktk jamii ndio yamefanya wawe hivo,kutokana na pressure kubwa kutoka nje.kua kwa nini huolewi?au wenzako wote wameolewa umebaki ww tu?jamii inawapressurize sana hawa viumbe,matokeo yake mtu anaolewa kuridhisha watu tu,ila kwa kweli hajawa na mapenzi mazito na muoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…