Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Huyo jamaa ni zuzu kiasi gani?
 
Aisee basi kazi unayo mkuu. Siku njema
 
Utakuja kukojoa dagaa, mimi nakuangalia tu japo naelewa unachokifanya na mke wangu
 
Huyo mwanamke kiufupi hampendi mumewe ninachojiuliza tu alikubali vipi kuolewa naye, hivyo vituko huwezi kumfanyia mume wako unayempenda.

Na ww mkuu kuwa na maamuzi kama mwanaume au kama vipi achaneni na watu wenu muoane.
😂😂😂😂😂 hana jeuri hio
 
Hivi ukijua kuwa na mkeo anatiwa na mtu mwingine utajisikiaje?

HAmisha hayo maumivu yahamishie kwa huyo mme wako ... kama kweli unazijua amri kumi za Mungu achana na huyo mke wa mtu. Kama unataka kuchepuka katafute wale ambao wako free mbona wengi tu.

Pili huyo dem hajitambui ... kama nimesoma vizuri ni kwamba atakuwa na pepo la ngono.. hapo alipo ina maana ameolewa kwa mwanaume wa pili? Unajua kilichomtoa kwa mume wa kwanza?

Hacha kabisha kuchanganya damu yako na damu ya kahaba.
 
Voda Fasta hio!
 
Mla cha wenzie pia chake huliwa,usijione mjanja mchunguze mkeo pia nae kuna jamaa anampakua malipo hapa hapa mzee..
 
Naanza pata hisia hii story ni ya kupikwa
Haina cha kupikwa iamini kama ilivyo kama vile ambavyo unaweza kuwa mke wako ameenda kujiendeleza kimasomo afu akawa analiwa na mwanafunzi mwenzie na ukimtumia pocket money anachukua anamhonga kiben ten wake.So simple.Ukioa kuchapiwa ni siri ya ndani maana hata ukianza kubwabwaja hata wale ambao walikuwa hawajui kama mkeo anachepuka watahamasika na kuanza kumu mendea.
 
Mama Mkwe anajua Binti yake anatafunwa na wewe lkn bado hata alipoolewa anaendelea kumtunzia Binti yake siri, Mungu tusaidie Me tuwe na hekima sana.
 
Hii iko realistic, ila kitendo cha kujua mtu anakutombea kisha ukakaa kimya, hivi mkeo wa ndoa asafiri for 16 days awe anakukatia simu tu. Hio itakuwa dalili gani? Uzezeta au roho ya kristo?
 
Mkuu hakuna kitu kigumu kama Kulazimisha mapenzi na kushindwa kukubali ukweli kuwa Mwanamke hakupendii...!! Ni weakness ya wanaume wengi sanaa ndo maana huwa tunajiuaa na kuua wanawake... Manzi akizingua wewe mpotezee wapo wengi unaweza wapata na ukaenjoy...
 
Yani hapo namuacha ila lazima alipie mda alionipotezea na unafiki wake! Thats for once and for always.
 
Samahani mkuu, ulitaka wakupongeze kwa kumla mke wa mtu siku yake ya kufunga ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…