Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Mkuu kumbuka kuna Mtinyama siku ukiingia kwenye 18 za watu,ujue chuma unacho
 
Jamani niseme tu kuwa hawa mtu na mtoto wake wamefanya limbwata hapo,kwa hawara na mume wa ndoa sio bure na chamsingi ww dume hebu kunywa mkojo wako wa asubuhi kama robo kikombe hv halafu mwagia chumvi mlangoni kwako leta mrejesho
 
Siyo kweli kuwa wanaume wote tunachepuka. Wewe pambana na hali yako usitafute visingizio. Kwa ushauri amua kuachana na huyo binti na simamia uamuzi wako. Ila kama unadhani hilo haliwezekani kabisa njia rahisi zaidi ya kumuacha ni anzisha mahusiano na mama yake ili yeye akusaidie kusimamisha hayo mahusiano yako na binti yake. Inaonekana pia anashabikia sana huo mchezo mchafu unaoendelea kati yako na binti yake hivyo atakukubali bila shida..
 
ANDAA JICHO PORI HILO, MUDA SI MREFU WAHUNI WANAKUJA KULILA NA CHUMVI PAMOJA NA WESE .........HALAFU WATAKUREKODI WATUPIE FACEBOOK
 
Hujaamua mpaka likukute jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…