Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka una mke na kuna kijana anamfanyia hivyo hivyo mke wako, naye anaomba ushauri kama unavyo omba kwa wana jamvi hapa,zingatia kiapo ulichokula mbele ya MUNGU siku unafunga ndoa yako.Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya Ijumaa kuu.
Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nina hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.
Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015 akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.
Baada ya kurudi kwao,ndio nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.
Aisee kwanza sikutegemea kama ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.
Lkn ndo hivyo nimejikuta nipo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu na mimi wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!
Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndio akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,kama nipo tayari aolewe lkn nisimuache.
Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.
Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa Jumamosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema wewe tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.
Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.
Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya Jumamosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jumatano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana.
Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.
Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.
Maana mwanamke kwa sasa kawa kama mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mumewe ukimwambia njoo,hata kama alikuwa anapika ataacha kila kitu.
Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.
Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi.
Mfano juzi hakuenda kazini,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae demu alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini.
Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password.
Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha maana hata mke wangu alishahisi kama natembea naye.
Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??
Nawasilisha kwenu.
Poa tu kuna vitu sikia. Kwa wenzako but sio kwakoKufa kupo tu
Amenogewa na chini.Yaani unamhurumia hawara, mumewe lakini umeacha kumhurumia mke, watoto na familia yako kwa ujumla? Seems ume-invest muda, mali na akili yako kwa huyo hawara, hadi kufikia kuwa na mawasiliano ya ukaribu na mama yake, wtf mkuu? You're above 40 for goodness sake!!
Una mkeo, hem' mpe heshima yake, wewe ni mtu mzima, kaka yetu kabisa, unatutia aibu, huna maamuzi thabiti kama baba na mume, tena mwenye mji wake. Unalala na mchumba siku ya harusi yake, unadhani ni ufahari lakini ni kukosa akili, man up n stop that rubbish, acha mawasiliano na mama yake, anakupotosha coz ameona wewe ni kiazi.
Mwisho, huyo mwanamke nae ni kichwa panzi tu, ataolewa hadi kufikia 40 ana talaka za kumtosha, nashangaa umeingia kwenye mahusiano na mwanamke asiyejitambua kiasi hicho, possibility ya wewe kutojitambua ni kubwa pia(birds of the same feathers)
Kuna mambo yapo jamaniJapo swali si la kwangu lakini hili la mama kukukubali mchepuko ni kweli, wazazi huwa wanapenda sana kuona watoto wao wana furaha, mimi aliwahi kunikubali mama mpaka baba wa mke wa tu
Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.
Mama ni wa kupiga risasiMkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
Haya yote nitayarekodi na kutupia mtandaoni chini ya caption mke wa mtu ni sumu na mama mkwe umeyatakaMama ni
Mama ni wa kupiga risasi
Binti ni wa kumchinja shingo Pole Pole huku unamuangalia na ukiwa umemfunga kamba miguu na mikono vilivyo.
pia nahakikisha mama anashuhudia kifo cha mtoto kwanza kabla cjamchapa risasi
haya yote yanafanyika wewe mbwa unaechepuka na wake za watu ukiwa unashuhudia A to Z kumbuka nyie wote ni mateka muda huo
namaliziana na wewe kwa kukukanyaga na tairi ya semi kiunoni.
Du aisee !Nimeogopa furaha yote ya Pasaka imeisha!Mkuu sifanyi utani hapa ukweli kabisa hiii hali inanisumbua sana...kweli kabisa natamani kumuacha huyu dada,shida iliyopo kwanza ni mazoea,kumbuka ameolewa nikiwa naye. Ujue tuna mazoea yale ya ndani kabisa,masikhara upendo hata km wa kitapeli lkn ndo maisha yetu. So kuna wakati namkazia lkn anaondoka kwa mumewe anaenda kwa mama yake. Na huko mama atanisumbua balaa! Mama huyo ndo mtoto wake wa pekee! Huwa hapendi kabisa kumuona mwanaye akiwa hana furaha. Na nna heshimiana sana na mama...na ukimwambia issue ya kumuacha anakuambia bora yeye aondoke kwa mwanaume.
😀😀😂😂😂WAHUNI SI WATU WAZURIUnajisumbua tu jamaa hatofanya hivyo mana keshasema amejaribu kumuacha anashindwa,sasa hivyo visa ataanzia wapi huyu muhuni?
HII NGUMU KUMEZAMkuu hii ngoma ni nzito sana aisee,yalishanikuta kama Haya,mapenz na mke wa mtu ni matam asikwambie mtu
Ahaaahaaa katoto Leo umetoa boko
Sasa jamani wameshibana tufanyaje?Ahaaahaaa katoto Leo umetoa boko
Duh kuna Komandoo aliigeuza shingo ya jamaa aliyekuwa akimuibia mkewe hakujali umri wa mwizi wake kuwa ni mkubwaBravo JWTZView attachment 1075709
Ahaahaha hakuna namnaSasa jamani wameshibana tufanyaje?
Huwezi badili mioyo ya watu wanaopendana tokea mwanzo .Ahaahaha hakuna namna