Uko sahihi! Amuache tu asije akajuta baadaeSema Nini mzee
Unakosea Sana
Muhurumie mwanaume mwenzio.
Malipo hapa hapa duniani Kaka.
Kwahiyo umeamua kukubaliana nao?Hao wanajikutaga wana hati miliki ya kuchepuka ngoja nianze na jinsia yetu
Baba yake yuko wapi?Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Hao nitadeal nao baadae ...sababu kuna upande mmoja wa imani unawaruhusu kuwa nao wanne sasa inabidi itumike nguvu ya ziada. HahahahahahahaKwahiyo umeamua kukubaliana nao?
Nitaleta mkasa nikipata nafasi nzuri ya kutypeCan you share hata experience moja mkuu!!! I ask for this favor
Unawaruhusu kuoa na sio uzinifu, unaofanyika hapa ni uzinifu.Hao nitadeal nao baadae ...sababu kuna upande mmoja wa imani unawaruhusu kuwa nao wanne sasa inabidi itumike nguvu ya ziada. Hahahahahahaha
Sema mama wa binti wachache wasio na maadili. Huo wingi umechukulia watu wangapi?Mama wa mabinti wengi wao huwa support binti zao hasa kama anaona kbs bintiye ana furaha na anachokifanya, mbaya zaidi me uwe na tabia ya kuhudumia aaaah wamama mbona hata nyumbani kwake sometimes anakuandalia mazingira unaenda kuchapa bintiye.
Speaking from experience
Eheee sasa hilo lijanaume lilitakiwa lioe na huyo binti .....sasa tuanze na sisiUnawaruhusu kuoa na sio uzinifu, unaofanyika hapa ni uzinifu.
Kilalakheri.Eheee sasa hilo lijanaume lilitakiwa lioe na huyo binti .....sasa tuanze na sisi
I feel you braza.Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Tunakuja!Unamuhurumia mume wa huyo binti ila humhurumii mkeo wala hujihurumii wewe.
Hawa wapuuzi wachache ndio wamezifanya ndoa kuonekana takataka tu.
Jamani wale mlio na NDOA naongelea NDOA haswaa mko wapi mtoe elimu kwa hiki kizazi kinachopotea?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mkuu kwanza ndo maana nime-adress kuwa tatizo ni mke wa mtu. Asingekuwa mke wa mtu wala nisingepost chochote. Ww unanishangaa mm kwa sababu nimesema hali nnayopitia. Lkn kitu ambacho hukijui wanaume wote wanachepuka. Inawezekana hutakubaliana na mm hapa lkn huo ndo ukweli halisi. Hata wanaume wenzangu wote wanaoshauri hapa ni hilo tatizo la mke wa mtu. Huko nyuma hakuwa ameolewa na sikuwa na tatzo na ndo maana sikupost chochote. Na haina maana kwamba kwa sababu natoka na huyu simpendi mke wangu...Nampenda sana na ndo maana ndo npo naye.Unamuhurumia mume wa huyo binti ila humhurumii mkeo wala hujihurumii wewe.
Hawa wapuuzi wachache ndio wamezifanya ndoa kuonekana takataka tu.
Jamani wale mlio na NDOA naongelea NDOA haswaa mko wapi mtoe elimu kwa hiki kizazi kinachopotea?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Si ajabu we mwenyewe u miingoni mwaoSema mama wa binti wachache wasio na maadili. Huo wingi umechukulia watu wangapi?
Hivi kuna mama timamu alielelewa vyema na akawalea watoto wake vyema akafanya huu upuuzi?
Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.Baba yake yuko wapi?
@heaven sent njoo mama uone new kind of love.Mkuu kwanza ndo maana nime-adress kuwa tatizo ni mke wa mtu. Asingekuwa mke wa mtu wala nisingepost chochote. Ww unanishangaa mm kwa sababu nimesema hali nnayopitia. Lkn kitu ambacho hukijui wanaume wote wanachepuka. Inawezekana hutakubaliana na mm hapa lkn huo ndo ukweli halisi. Hata wanaume wenzangu wote wanaoshauri hapa ni hilo tatizo la mke wa mtu. Huko nyuma hakuwa ameolewa na sikuwa na tatzo na ndo maana sikupost chochote. Na haina maana kwamba kwa sababu natoka na huyu simpendi mke wangu...Nampenda sana na ndo maana ndo npo naye.
And here we go.Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.