Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
Baba yake yuko wapi?
 
Mama wa mabinti wengi wao huwa support binti zao hasa kama anaona kbs bintiye ana furaha na anachokifanya, mbaya zaidi me uwe na tabia ya kuhudumia aaaah wamama mbona hata nyumbani kwake sometimes anakuandalia mazingira unaenda kuchapa bintiye.

Speaking from experience
Sema mama wa binti wachache wasio na maadili. Huo wingi umechukulia watu wangapi?
Hivi kuna mama timamu alielelewa vyema na akawalea watoto wake vyema akafanya huu upuuzi?
 
Nashukuru mkuu kwa Maoni yako..nataka baadae nimtumie hii link aone jinsi hili suala linavyonipa shida. Kwa sababu hv tunavyoongea,hayupo kwake yupo kwa mama yake kwa sababu tu sijapoke simu zake tangu asbh. Nimeongea na mama mchana ananiita huko nikamwambia me leo nipo nyumbani na familia na tunaenda kanisani ndo maana hata simu sijapokea. Nikajitetea tu hivyo kwa mama yake. Na mama akampa simu nimsalimie. Yaani ni mtihani kweli mkuu!!
I feel you braza.

Kinachotokea hapo ni kwamba.

Alihisi ndoa itakua ni distraction ili akusahau.

Kama kila ulichoandika ni sahihi inamaanisha amekaa kwenye uchumba na jamaa kwa muda mdogo mno.

Pengine hakumpenda sana mshkaji. Kwake ndoa ilikua ni distraction.

Kama mshkaji hajiwezi kiuchumi na romantic hali itazidi kua mbaya. Sex rut itawahi mno kuikumba ndoa yao.

Kama una imani na mimi nipe namba ya binti nimfanyie counselling.[emoji83][emoji49]
 
Unamuhurumia mume wa huyo binti ila humhurumii mkeo wala hujihurumii wewe.

Hawa wapuuzi wachache ndio wamezifanya ndoa kuonekana takataka tu.
Jamani wale mlio na NDOA naongelea NDOA haswaa mko wapi mtoe elimu kwa hiki kizazi kinachopotea?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Tunakuja!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Unamuhurumia mume wa huyo binti ila humhurumii mkeo wala hujihurumii wewe.

Hawa wapuuzi wachache ndio wamezifanya ndoa kuonekana takataka tu.
Jamani wale mlio na NDOA naongelea NDOA haswaa mko wapi mtoe elimu kwa hiki kizazi kinachopotea?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Mkuu kwanza ndo maana nime-adress kuwa tatizo ni mke wa mtu. Asingekuwa mke wa mtu wala nisingepost chochote. Ww unanishangaa mm kwa sababu nimesema hali nnayopitia. Lkn kitu ambacho hukijui wanaume wote wanachepuka. Inawezekana hutakubaliana na mm hapa lkn huo ndo ukweli halisi. Hata wanaume wenzangu wote wanaoshauri hapa ni hilo tatizo la mke wa mtu. Huko nyuma hakuwa ameolewa na sikuwa na tatzo na ndo maana sikupost chochote. Na haina maana kwamba kwa sababu natoka na huyu simpendi mke wangu...Nampenda sana na ndo maana ndo npo naye.
 
Sema mama wa binti wachache wasio na maadili. Huo wingi umechukulia watu wangapi?
Hivi kuna mama timamu alielelewa vyema na akawalea watoto wake vyema akafanya huu upuuzi?
Si ajabu we mwenyewe u miingoni mwao
 
Baba yake yuko wapi?
Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.
 
Hivi ww jamaa unapolala na mke wa mtu roho aikusuti? Imagine angekuwa mkeo ndio anafanywa hivyo na huyo dogoo ungemchukulia uwamuzi gani? Kwanini umekuwa kama ruba kwa kumganda mke wa watu

Binafsi nahisi ww na huyo dada mnapepo mchafu wa ngono anawa drive sasa umefika wakati wakusema basi imetosha tuache kuendelea na dhambi hii

Simama kidete kama ME mwenye msimamo ipo siku utakuja kufanyiwa kitu mbaya Mke wa mtu ni SUMU
 
Mkuu kwanza ndo maana nime-adress kuwa tatizo ni mke wa mtu. Asingekuwa mke wa mtu wala nisingepost chochote. Ww unanishangaa mm kwa sababu nimesema hali nnayopitia. Lkn kitu ambacho hukijui wanaume wote wanachepuka. Inawezekana hutakubaliana na mm hapa lkn huo ndo ukweli halisi. Hata wanaume wenzangu wote wanaoshauri hapa ni hilo tatizo la mke wa mtu. Huko nyuma hakuwa ameolewa na sikuwa na tatzo na ndo maana sikupost chochote. Na haina maana kwamba kwa sababu natoka na huyu simpendi mke wangu...Nampenda sana na ndo maana ndo npo naye.
@heaven sent njoo mama uone new kind of love.

Kati ya upuuzi sitaki kuusikia na siwezi kuuelewa hata uujustfy vipi ni huu wa "all men cheat". Wewe jitetee tu kwa nafasi yako kwa upuuzi unaoufanya usitafute huruma ya watu kwa kuwajumuisha watu kwenye upuuzi wako.
 
Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.
And here we go.
Then i rest my case[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom