Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Aisee, unakosea sana angalia tuu mauti yanakuita
 
There are three categories of rings in relationship
1)engagement ring
2)wedding ring
3)and suffering.

[emoji837][emoji822][emoji813]
 
Nakushauri umwambie huyo demu jinsi unavyojisikia vibaya kwa unayomtendea mwanaume mwenzio.Nionavyo mimi huyo jamaa anajua ila anakulia timing tu,pengine kwa kuwa mkeo alishahisi unamla huyo demu alishamwambia mmewe.Ipo siku utaaibika sana bro na utatamani dunia ipasuke.How do you know kama jamaa hashiki simu ya mkewe,teknolojia zimeendelea sana sahiv,usifikiri kuweka kwake password yuko salama.Nakushauri uache,heri akuchukie lkn uache kbs bro
 
Unakosea sana. Wewe ndiye uliyemfanya mpaka akuzoeee kias hicho mpaka amekua mtumwa kwako ndio maana ukimuhitaji muda wowote anakuja kwako. Umekua kama Christian Grey na Anastasia Steele.

Cha kufanya sababu wewe ndiye unaweza mcontrol huyo dada wewe ndiye wa kusolve tatizo hilo. Huitaji ushauri wa mtu mwingine ni wewe mwenyewe ujue utafanya nini.

Lastly, "what goes around comes back around" also "KARMA has no menu. You get served what you deserve"
 
Huyo mwanamke kiufupi hampendi mumewe ninachojiuliza tu alikubali vipi kuolewa naye, hivyo vituko huwezi kumfanyia mume wako unayempenda.

Na ww mkuu kuwa na maamuzi kama mwanaume au kama vipi achaneni na watu wenu muoane.
 
Duniani titi for tat,amini Huyo mkeo yawezekana kuna jemba linamenua , ukiua kwa panga utakufa kwa panga,endelea kumla vzuri malipo is coming
 
Nikweli naunga mkono hoja
 
Hakuna kitu kinashindikana chini ya jua hasa ukiamua kuacha, kutenda.
 
Kwanza nakubaliana na kila mtu anayesema hili kosa...!! Lkn sidhani km amekuwa mtumwa,nadhani ni yale mazoea tu,kumbuka km nilivyosema huyu dada kaolewa mwaka jana mwezi wa 8. Lkn mm nipo naye tangu mwaka 2016. Na ki msingi kwa umri wake alikuwa anastahili kuolewa kwa sababu bado ni mdogo sana...!! Na kiukweli me sikuwahi kuwaza kumuoa na sijawahi kuongea naye hilo hata siku moja. Tangu naanza kumdate alikuwa anajua km nna mke na niliweka masharti kabisa ya kumheshimu mke wangu...ambayo hadi leo anayazingatia. Yaani mkuu kwenye mapenzi kuna vitu vingine vidogo sana mnaweza kuwa mnafanya na mwenzi wako vinawafanya mjenge mazoea sana kiasi kwamba kila wakati mnakumbukana...!! Lkn angalau hapa naona jinsi watu wanavyochukizwa na hii kitu,naamini naachana na huyu dada.
 
"nimeoa lakini naiheshimu familia". Good luck kwa hii heshima yako.
 
Huyo mwanamke kiufupi hampendi mumewe ninachojiuliza tu alikubali vipi kuolewa naye, hivyo vituko huwezi kumfanyia mume wako unayempenda.

Na ww mkuu kuwa na maamuzi kama mwanaume au kama vipi achaneni na watu wenu muoane.
Mkuu vituko ni mm ndo navijua kwa sababu dem ananiambia. Lkn upande wa jamaa hakuna kitu anachohisi ingawa mm kweli kabisa kwa sasa naumia. Ujue nilishawahi tena hv karibuni tu,nikachukua laini ya simu ambayo hata dem haijui,nikamtumia SMS jamaa nikijifanya me ni mtu wake wa karibu. Nikamwambia mfuatilie shemeji kuna sehemu mara nyingi namuona lodge akiingia na jamaa. Nilichat naye sana kwa akili nyingi nikamwambia kila namna jinsi ambavyo tunakutana. Na siku hiyo wakati namwambia jana yake tulikuwa wote..hivyo ili aamini nikamwambia mpaka alivyokuwa amevaa mkewe na sehemu ambayo tulipita baada ya kutoka lodge. Nilimpa details kibao. Lengo langu nilijua atachukua japo za kumuonya kuwa ameshagundua nyendo zake. Na nilijua mwanamke lazima ataniambia km jamaa ameshajua..lkn jamaa alivyofika nyumbani,akamwambia mkewe kuna mbea anataka kutuchonganisha..ona sms alizonitumia..jamaa anaponda anasema anajifanya rafiki yangu,me sina rafiki wa hivi ambaye hajui hata kuandika..maana nilibadilisha namna ya kuandika ili dem asigundue km ni mimi. Dem akapiga screenshot zile SMS kesho yake akanitumia..lkn jamaa amezipotezea..ingawa mm nikajifanya nimeshikwa na uoga....!! Halafu mm Nampenda sana mke wangu wala sifanyi utani. Npo kwenye ndoa mwaka wa 21. Nimeoa tangu mwaka 1998.
 
Yaelekea hajawahi kusikia nyumba imevamiwa usiku, wamemuua mwenye nyumba na hakuna kitu chochote kilichoibwa! Wakati mwingine inatokana na vitendo kama hivi. Mke wa mtu sumu kijana
 
aya mambo ndo yanafanya nisifikirie kabisa kuoa, ntajiishia na vitoto vyangu viwili bila kuweka mwanamke ndani...
 
mkuu hapo kwenye kuchit ni kweli hajadanganya kabisa
 
Mkuu huo ni ushereheshaji Kwa upana wa fasili ya Andiko la kitabu cha

MATHAYO 5 mistari ifuatayo
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

22 Bali mimi nawaambieni, Kila amwoneaye ndugu yake hasira itampasa hukumu; na mtu akimfyolea ndugu yake, itampasa baraza; na mtu akimwapiza, itampasa jehanum ya moto.

23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

26 Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.

27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Andiko gani linasema haya mkuu?
 
Umesema ulimwita siku ya kufunga ndoa 05:00 am na ulikodisha guest house karibu na kwao ili iwe kuna urahisi, sasa naku uliza uliagaje kwa mkeo kulala nje au ndio chai ya alasiri?
ACHA UONGO KWA KUZINI UONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…