Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Unajiandalia kaburi
 
Aisee. hiyo tabia acha kabisa, yani unajipeleka wewe mwenyewe kwa kumuamsha aliyelala.

Just be careful my friend.

"Kiukweli nimeskitika hiyo asubuhi ya siku ya harusi yake" inauma sana.
 
Umeongea point mno
 
Mzee baba sasa kama ulimpa conditions azifuate juu ya kumuheshimu mkeo how comes usimpe sheria kali ya yeye kumuheshimu mume wake coz wewe ndio una power of control upon her sasa fanya kweli mwambie amuheshimu mume wake yani unaweza ukawa unafanya dhambi mpaka shetani analia haiwezekani ndoa inafungwa alafu alfajili unamtomba uyo mdada shame on u braza unaweza ukawa unamla mke wa mtu lakini dah wewe umepitiliza acha iyo tabia braza mungu anakuona ila kumbuka na ww una mke
 
Kweli kabisa naunga hoja mkono na hata ukiangalia nyumba ambayo inakosa control ya baba kiukweli nidhamu ziro kabisa
Wazazi wa kike si wa kuwaamini kwa mabint zao. Hilo ni jambo la kawaida sana na nalo fahamu kabisa
 
Hivi mchepuko unaanzaje kumuheshimu mke wa mwanaume anayechepuka naye na hiyo heshima ya kumuheshimu mtu ilhali umeshindwa kuiheshimu ndoa yake ndo ipi? Sana sana me naonaga mchepuko unamdharau tu mke
 
Yah ni kweli lakini mdau sema kuna kitu kimeniuma sana mdada anaolewa alfajili kaenda kuchezea mashine kwakweli haijakaa sawa kabisa
Hivi mchepuko unaanzaje kumuheshimu mke wa mwanaume anayechepuka naye na hiyo heshima ya kumuheshimu mtu ilhali umeshindwa kuiheshimu ndoa yake ndo ipi? Sana sana me naonaga mchepuko unamdharau tu mke
 
Subiri siku utakayofumaniwa nae ukakatwa na hiyo Zakary (OobM) yako "maana ndio inayokupa kiburi cha kutokuachana nae" sikuhiyo kwahakika utatengana nae. HALAFU UNAJISIFU HUWEZI KUACHANA NAE MPUMBAVU MMOJA SURA YAKO KAMA MAVI YALIYO MABICHI.🤔
 
Kuna mwamba kama wewe kwa sasa hawezi kuja jijini Dar na akija anakuja usiku na kurudi alikohamia kwa sasa.Kazi alikimbia ...kisa kama chako ila aliykekuwa anamfuatilia ni FALA.Alipigiwa simu mapema sana asubuhi akaulizwa maswali machache sana kuhusu hali kama hiyo na mwanaume kama huyo unayesema hajui kitu.Bwana alipokata simu alimtumia SMS zote na call voices juu ya mawasiliano yao.
Huyo mwanaume hakuishia hapo akamweleza mambo mengi mno kuhusu mtu kama wewe.Ratiba na matukio yote muhimu unayofanya na mke wake.Mwamba alipuuzia hilo jambo,..lakini mpaka sasa navyokueleza kahama jiji.Maana mikakati iliyowekwa juu yake ilianza kusambalatisha majukumu yake yote yanayompatia kipato mjini.Hatua ya kuliwa kiboga ilikuwa ya mwisho kabisa..bahati baada ya mambo meengi kuharibika ndio uamuzi wa kurudi Mkoani ukafikiwa.Lakini huyo FALA amepumzika tu kwa muda.Alishawahi fika aliko jamaa kwa makazi mapya.Ndugu huyo anadhoofu sana na ameharibu familia yake na mke na watoto kwa ajili tu ya kitu chepesi mno kuacha.Hatuoni tena future ya watoto maana miamala yote imekatika.Hatujui huyo mtu ana uwezo kiasi gani mpaka kuleta shida pana kwa jamaa kiasi hicho.Ni Fala Fala tu kama unavyo muona huyo dogo kwa sasa.
Kilichotoka kwa mwamba huyo ni kama TITANIC tu ilivyopotea Atlantic..Hana raha ya maisha tena...Ogopa sana sana wanaume mafala fala ni watu wabaya mno zaidi ya unavyojua.Watu kama hao haijalishi ni hana kipato au anacho.Wana maamuzi yao ya kipekee mno.
 
Mkuu kwanza si kweli kwamba me namuona fala. Sema watu ingawa wanatoa ushauri mkali lkn wengi hawaelewi situation nnayopitia mimi. Kumbuka mkuu npo na huyu dada miaka 2 nyuma kabla hata yy hajamjua. Msiangalie tu ubaya wa yale niliyoeleza. Nimeeleza mabaya niliyomtendea kwa sababu hata mimi yananitesa kwa sasa. Mm huyo binti namjua zaidi kuliko watu wanavyofikiri. Ukiacha mapenzi hata mambo mengine mazuri kabla hajaolewa tumefanya mengi tu. Huyo binti ni darasa la 7,lkn mm ndo nilimpeleka chuo,akajiongezea kielimu kidogo na nikamsaidia kupata kazi. Kazi ambayo ameajiriwa kabisaa anapata mshahara,bima ya afya na stahili zote za mfanyakazi.

Kwake ugumu wa kutoka umebeba mambo mengi,ndo maana ukimwambia habari ya kuachana kwa sababu ya ndoa anasema basi yy anaondoka kwa yule mwanaume. Mkuu mm siyo mjinga km watu wanavyoniona,nachukua hatua lkn zinagonga mwamba,me nataka nimuache lkn abaki ktk ndoa,sitaki aachike kwa ajili yangu. Hv tunavyoongea yupo kwao kwa mama yake,tangu jana asbh sipokei simu zake,jioni mama akapiga simu,nikapokea mama ananiita huko, nikamwambia mama leo ni ijumaa kuu ndo maana sipokei hata simu npo na familia labda kesho,kisha nikamsalimia na yeye kwa kifupi na simu nimeizima saa 2 tu usiku. Muda huu ndo nawasha simu..kuna sms 16. Maneno aliyoandika humo Mungu mwenyewe anajua hali nnayopitia mm. Yaani usiku kucha nawaza hii issue nai-solve vp!?? Nimefikiria hata kumpigia simu jamaa nimwambie ukweli...!!
 
Upo kwenye ndoa miaka 21 sasa
Unampenda na kumheshimu mkeo
Ila unachepuka na mke wa mtu na unautumia muda wake mwingi kuliko anavyoutumia na mumewe

Mimi kuna kitu ambacho huwa najiuliza mara nyingi sana..
Unajustfy vipi kuchepuka huku unampenda na kumheshimu mwenzi wako?? Huo upendo/mapenzi na heshima viko wapi??

Ila mkuu na wewe una guts...
Ukaona uharibu hadi siku ya ndoa ya mchepuko wako[emoji3]
Siku ukiyajua ya mkeo uje utuambie umegundua kuna watu wanawaonea wivu[emoji3]
 
Aisee. hiyo tabia acha kabisa, yani unajipeleka wewe mwenyewe kwa kumuamsha aliyelala.

Just be careful my friend.

"Kiukweli nimeskitika hiyo asubuhi ya siku ya harusi yake" inauma sana.
Mkuu watu wanashindwa kujua Jambo moja,hili langu linawaudhi wengi kwa sababu mm nimesema. Lkn km nisingesema hata ningekutana na yeyote miongoni mwa member bado angeniheshimu kutokana na muonekano wangu wa nje na maisha yangu. Kuna member tunafahamiana humu,baada ya uzi wangu alinifuata pm kuniuliza km issue hii ni ya kweli nikamwambia ni kweli..kasema anakuja ofisini leo asbh anataka akaongee na huyo dada maana naye ni mwanamke. Tatizo la member wa jamii forums,mtu akisema kuhusu udhaifu wake wote wanageuka kuwa watakatifu badala ya kuangalia uhalisia na kutoa ushauri.
 
Unanishangaa mm kwa sababu nimeongea ukweli juu ya matendo yangu. Sitaki kuzungumzia issue ya mke wangu..lkn haina maana kwamba kwa sababu nachepuka basi simuheshimu. Pamoja na vurugu zote lkn hajui,aliwahi kuona SMS tu na hazikuwa na madhara sana ingawa alianza kumhisi. Watu wengi wanajifanya watakatifu sijui kwa nn!?? Me nimesema hapa kwa sababu nna dhamira ya dhati nataka kumuacha. Km ningekuwa nataka kuendelea naye,dem mbona yupo tayari kuachika si ningekubali aachike nisingekuja hata kuomba ushauri hapa. Mm sitaki kuendelea naye lkn kuna mazingira yananibana nikifanya km watu wanavyotaka,hata mke wangu atajua...Jambo ambalo sitaki litokee kabisaa!!
 
Kiongozi hakuna cha kuona huruma hebu mwache huyo binti ....uzinzi dhambi.....halafu hawa wanawake wanaokubali kuolewa halafu wanacheat huwa wanamaanisha nini labda??? Kwa nini kaolewa???
Girls date who they love most but end up marry who's ready for it.
 
Hapo kwa sms na picha ndio pa kuzingatia mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…