Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti. Sasa baada ya kuachana na yule mchepuko nikawa natafuta mwingine wa kureplace mdogo mdogo.

Kuna binti mmoja ninajua amewahi kuwa mchepuko wa mdogo wangu na dogo alipiga sana bila binti kujua kaoa, so binti alipojua dogo kaoa aliumia sana mpaka nikawa mshauri akapoa ila alimchukia sana dogo wakaachana mazima.

Binti amebaki mtu wa kuview status na kucoment mara moja moja huku akiwa ni mteja mzuri wa biashara yangu. Binti ni Mmasai mmoja mzuri narudia mzuri kiwango cha kutosha.

Baada ya kuachana na mchepuko kuna ujinga yule mchepuko alifanya wa kipuuzi sana(nikiuandika hapa watu wataunganisha code mji mdogo huu).

Yule binti akanifata " X mbona dem wako anafanya hivi na hivi? Ni sahihi kweli?" Nikamjibu " nishaachana nae now ni mwezi so anafanya ivyo kulipa kisasi" Pole zikawa nyingi sana na kuoneshwa jinsi yupe ex anakosea sana. Kuanzia hapo mazoea na huyu dogo yakawa makubwa yaan kila wakat ntakuta msg yake na kunijal kukazidi. Siku moja akaomba nimtoe dinner me sikuwa na wazo nae nikachukulia poa.

Tukatoka Karambez tukala zetu vzr na kunywa ye wine me situmii pombe so vinywaji vyepesi, saa tano usiku nikawa namrudisha kwake nimefika nikapaki gari atoke. Ghafla yule binti akarukia upande wangu moja kwa moja mdomon na kuanza romance huku ananipapasa. Kilikuwa kitendo cha ghafla sikutarajia ivyo nilibaki na bumbuwaz tu ye akijisavia.

Me ni mwanaume tena rijali na yule binti ni mzuri sana; yaan ile sana na alikuwa good kisser so nilijikuta nasisimkwa baada ya muda natoa ushirikiano.

Akasogeza kiti nyuma na kukiinamisha tukiwndelea pale. Ukweli tulijikuta tumesex akaondoka na kuongia kwake na me nikarud kwangu.

Ukweli nilijilaum sana usiku huo ikizimgatiwa yule dem dogo kapiga sana, Kesho yake akaamka na kuniomba msamaha na kuomba kuonana na mm tuongee nilikataa. Siku mbili nzima anaumtuma msg na ignore baadae nikaona nionane nawe nimpe msimamo wangu.

Kweli tukaonana Instanbull pale Mliman tukaongea. Binti akasimamia msimamo mmoja kile kilichotokea sio bahati mbaya na wala sio lengo la kumkoamoa dogo bali amekuwa akinipenda tangu muda" G nimekuwa nikikufatilia wewe na kumfatilia ex wako wakat mkiwa wote maana wote nawajua na no zenu wote ninazo.

The way ulivyokuwa ukimtreat yule dem,ukimpemda na kumjali(ex wangu alikuwa mtu wa kujiproud sana kila nilipomfanyia kitu so hata tulipoachana kuna rafik zake wengi walikuja kasi hope walidhan naweza kuwa nao niwape care kama niliyompa but niliwa ignore) ye akadai alivutiwa sana na ile roho niliyonayo navyojitoa kwa upendo.

But asingeweza kuwa mchepuko wa pili ivyo akawa ametulia akiamin kuna siku nafasi itapatikana na sasa imepatikana "
Aliongea mengi sana huku akiapa kuwa anachotaka hakihusiani kabisa na mdogo wangu wala kisasi ni upendo. Sikuwa na jibu nikabaki kuangalia mov inavyoenda.

Huyu demu kwakweli ananijali na kuonesha kunipenda sana zaid ya sana. Tuna mwez ila tushapiga mechi kama mara sita iv huku akijituma sana kitandani na nje ya kitanda pia. Aisee anajali sana na anaonesha anapenda sana zaid ya sana. Ni mzur jaman sana(hope mnajua masai akiwa mzur anakuwa mzur haswa)

Kwa mbali na me hisia zinaanza kuvutiwa na haya mahusiano but moyo unasita huyu alikuwa dem wa dogo na sio kwamba dogo alipiga akasepa NO aliweka kambi

Hivi siku dogo akijua atanichukuliaje? Huwa nawaza nakosa jibu(ikimbukwe me na familia na dogo ana familia so huyu ni mchepuko)

Hiv ni sahihi mtu na ndg yake kula dem mmoja? (huko nyuma ilishatokea dem mmoja tumedate ila siku ya kugongana tuko room ananiambia alishawah kugongwa na bro mara moja tu akaachwa mimi mood ya sex ilikata na sikumla nikaachana nae alinimind sana mpk matusi kuwa me mshamba ye amenipenda me naangalia undg tena ambao aligongwa kwa kulazimishwa ila me sikukubali niliachana nae)

Any advc (matusi no amna ambaye hana mchepuko hapa msilete utakatifu wa Jf)

Cc @deeppound
 
Maelezo mengi sana, Chai hii [emoji23][emoji23][emoji23]

IMG_3840.jpg

Hope makusaidia kujua sio chai
 
Vitu zingine unaachia zipite tuu jomba .... ukishaanza kuingiza tamaa kula madem wa mdogo wako ,shetani huyo huyo atakuja kukuingiza hadi kwa mke wa mdogo wako na trust me na utampakua. Undugu unalindwa kwa gharama sana bro ikiwemo kumlinda ndugu yako na mabaya yote.
 
Kuwa na mchepuko tu haishauriwi, sasa unataka tubariki uwe na mchepuko ulioliwa na mdogo wako!? Vp kama mmoja ana ngoma hapo?
 
Back
Top Bottom