Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Hapa juzi nilileta kisa cha kuachana na mchepuko wangu ila nilikatisha baada ya watu kuunganisha matukio na kunijua so nikaona nikiendelea ni kujivua nguo mimi na yule binti

Sasa baada ya kuachana na yule mchepuko nikawa natafuta mwingine wa kureplace mdogo mdogo. Kuna binti mmoja ninajua amewahi kuwa mchepuko wa mdogo wangu na dogo alipiga sana bila binti kujua kaoa, so binti alipojua dogo kaoa aliumia sana mpaka nikawa mshauri akapoa ila alimchukia sana dogo wakaachana mazima.

Binti amebaki mtu wa kuview status na kucoment mara moja moja huku akiwa ni mteja mzuri wa biashara yangu.
Binti ni masai mmoja mzuri narudia mzuri kiwango cha kutosha.

Baada ya kuachana na mchepuko kuna ujinga yule mchepuko alifanya wa kipuuzi sana(nikiuandika hapa watu wataunganisha code mji mdogo huu).

Yule binti akanifata " X mbona dem wako anafanya hivi na hivi? Ni sahihi kweli?"
Nikamjibu " nishaachana nae now ni mwezi so anafanya ivyo kulipa kisasi"
Pole zikawa nyingi sana na kuoneshwa jinsi yupe ex anakosea sana
Kuanzia hapo mazoea na huyu dogo yakawa makubwa yaan kila wakat ntakuta msg yake na kunijal kukazid
Siku moja akaomba nimtoe dinner me sikuwa na wazo nae nikachukulia poa
Tukatoka Karambez tukala zetu vzr na kunywa ye wine me situmii pombe so vinywaj vyepes
Saa tano usiku nikawa namrudisha kwake nimefika nikapaki gari atoke
Ghafla yule binti akarukia upande wangu moja kwa moja mdomon na kuanza romance huku ananipapasa
Kilikuwa kitendo cha ghafla sikutarajia ivyo nilibaki na bumbuwaz tu ye akijisavia
Me ni mwanaume tena rijal na yule binti ni mzur sana yaan ile sana na alikuwa goodkisser so nilijikuta nasisimkwa baada ya muda natoa ushirikiano.

Akasogeza kiti nyuma na kukiinamisha tukiwndelea pale
Ukweli tulijikuta tumesex akaondoka na kuongia kwake na me nikarud kwangu
Ukweli nilijilaum sana usiku huo ikizimgatiwa yule dem dogo kapiga sana
Kesho yake akaamka na kuniomba msamaha na kuomba kuonana na mm tuongee nilikataa
Siku mbili nzima anaumtuma msg na ignore baadae nikaona nionane nawe nimpe msimamo wangu
Kweli tukaonana Instanbull pale Mliman tukaongea
Binti akasimamia msimamo mmoja kile kilichotokea sio bahati mbaya na wala sio lengo la kumkoamoa dogo bali amekuwa akinipenda tangu muda" G nimekuwa nikikufatilia wewe na kumfatilia ex wako wakat mkiwa wote maana wote nawajua na no zenu wote ninazo

The way ulivyokuwa ukimtreat yule dem,ukimpemda na kumjali(ex wangu alikuwa mtu wa kujiproud sana kila nilipomfanyia kitu so hata tulipoachana kuna rafik zake wengi walikuja kasi hope walidhan naweza kuwa nao niwape care kama niliyompa but niliwa ignore) ye akadai alivutiwa sana na ile roho niliyonayo navyojitoa kwa upendo
But asingeweza kuwa mchepuko wa pili ivyo akawa ametulia akiamin kuna siku nafasi itapatikana na sasa imepatikana "
Aliongea mengi sana huku akiapa kuwa anachotaka hakihusiani kabisa na mdogo wangu wala kisasi ni upendo
Sikuwa na jibu nikabaki kuangalia mov inavyoenda

Huyu demu kwakweli ananijali na kuonesha kunipenda sana zaid ya sana
Tuna mwez ila tushapiga mechi kama mara sita iv huku akijituma sana kitandani na nje ya kitanda pia
Aisee anajali sana na anaonesha anapenda sana zaid ya sana
Ni mzur jaman sana(hope mnajua masai akiwa mzur anakuwa mzur haswa)

Kwa mbali na me hisia zinaanza kuvutiwa na haya mahusiano but moyo unasita huyu alikuwa dem wa dogo na sio kwamba dogo alipiga akasepa NO aliweka kambi

Hivi siku dogo akijua atanichukuliaje? Huwa nawaza nakosa jibu(ikimbukwe me na familia na dogo ana familia so huyu ni mchepuko)

Iv ni sahihi mtu na ndg yake kula dem mmoja?(huko nyuma ilishatokea dem mmoja tumedate ila siku ya kugongana tuko room ananiambia alishawah kugongwa na bro mara moja tu akaachwa mimi mood ya sex ilikata na sikumla nikaachana nae alinimind sana mpk matusi kuwa me mshamba ye amenipenda me naangalia undg tena ambao aligongwa kwa kulazimishwa ila me sikukubali niliachana nae)

Any advc (matusi no amna ambaye hana mchepuko hapa msilete utakatifu wa kingese wa Jf)

Cc @deeppound
Hakuna shida, muhimu kupendana.
 
hivi ndivyo shetani huteka akili za vijan wengi kwa uzinzi na uasherati..
.
biblia inasema azinie na mwanamke huiangamiza nafsi yake mwenyewe" so ni swala la mda tu madhara yatakupata..
 
Cha kukushauri,
Kama mnaheshimiana sana na dogo.

Nenda kwanza kaongee na uyo dogo, ila iweke Kama story TU, mweleze uyo mdada unahisi kama anashoboka sana na wewe.

Afu sikilizia mrejesho wake,
- Kama ataonesha wivu,jua kabisa bado anampenda. Achana nae.

- Kama atakuhamasisha upige, utajua kabisa Hana mpango nae. Mwambie POA akitenga napiga. Ila ujibu kimasihara TU.

Kuna Uzi flan nilishaleta humu,
Marafiki zangu wakubwa wamejenga uadui wa kudumu kisa Mwanamke.

Brother yetu mmoja Kaenda kumuoa mchumba wa dogo, kilichotokea Ni sisi wote tumemtenga.
Sahivi maisha yamempiga kafilisika, Hakuna wakumuamini na kumuinua tena.
Na sahv anakesi mahakamani, anatakiwa arudishe nyumba yetu aliyouza kinyemela.

BE CAREFUL BROTHER[emoji120]
 
Mdogo mdogo utaanza kula ata mke wa mdogo wako mara mchepuko wa baba ako kilakitu kinaanzaga taratbu na kisha kunogewa
 
Kuna ujinga mwingi huwa unachekesha sana, ila ukiruhusu ujinga wa mwingine ukuumize kichwa utateseka sana.
 
Cha kukushauri,
Kama mnaheshimiana sana na dogo.

Nenda kwanza kaongee na uyo dogo, ila iweke Kama story TU, mweleze uyo mdada unahisi kama anashoboka sana na wewe.

Afu sikilizia mrejesho wake,
- Kama ataonesha wivu,jua kabisa bado anampenda. Achana nae.

- Kama atakuhamasisha upige, utajua kabisa Hana mpango nae. Mwambie POA akitenga napiga. Ila ujibu kimasihara TU.

Kuna Uzi flan nilishaleta humu,
Marafiki zangu wakubwa wamejenga uadui wa kudumu kisa Mwanamke.

Brother yetu mmoja Kaenda kumuoa mchumba wa dogo, kilichotokea Ni sisi wote tumemtenga.
Sahivi maisha yamempiga kafilisika, Hakuna wakumuamini na kumuinua tena.
Na sahv anakesi mahakamani, anatakiwa arudishe nyumba yetu aliyouza kinyemela.

BE CAREFUL BROTHER[emoji120]
Nyie kweli hamnazo....mnamtenga bro kisa mbususu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uwa najiuliza sisi wanywa maji ma soda tunamatatizo gani[emoji2][emoji2][emoji2]yaan kuaribu kwa ajili ya pale kati ni rahisi sana
Kwa mimi hili tukio lako likifika kwa jamii ni haibu hasa kwa kuwa unafamilia
Na jinsi mnavyoelekea itajulikana tu.na huyo dem nia yake ni kumuumiza dogo tu hakuna jingine.tafuta siku kadhaa ili umuandae dogo iwapo litafumuka awe kesha jiandaa kwa maumivu
NAKUTAKIA PENZI LA AMANI MKUU
 
Back
Top Bottom