Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Hakuna shida, muhimu kupendana.
 
hivi ndivyo shetani huteka akili za vijan wengi kwa uzinzi na uasherati..
.
biblia inasema azinie na mwanamke huiangamiza nafsi yake mwenyewe" so ni swala la mda tu madhara yatakupata..
 
Cha kukushauri,
Kama mnaheshimiana sana na dogo.

Nenda kwanza kaongee na uyo dogo, ila iweke Kama story TU, mweleze uyo mdada unahisi kama anashoboka sana na wewe.

Afu sikilizia mrejesho wake,
- Kama ataonesha wivu,jua kabisa bado anampenda. Achana nae.

- Kama atakuhamasisha upige, utajua kabisa Hana mpango nae. Mwambie POA akitenga napiga. Ila ujibu kimasihara TU.

Kuna Uzi flan nilishaleta humu,
Marafiki zangu wakubwa wamejenga uadui wa kudumu kisa Mwanamke.

Brother yetu mmoja Kaenda kumuoa mchumba wa dogo, kilichotokea Ni sisi wote tumemtenga.
Sahivi maisha yamempiga kafilisika, Hakuna wakumuamini na kumuinua tena.
Na sahv anakesi mahakamani, anatakiwa arudishe nyumba yetu aliyouza kinyemela.

BE CAREFUL BROTHER[emoji120]
 
Mdogo mdogo utaanza kula ata mke wa mdogo wako mara mchepuko wa baba ako kilakitu kinaanzaga taratbu na kisha kunogewa
 
Kuna ujinga mwingi huwa unachekesha sana, ila ukiruhusu ujinga wa mwingine ukuumize kichwa utateseka sana.
 
Nyie kweli hamnazo....mnamtenga bro kisa mbususu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uwa najiuliza sisi wanywa maji ma soda tunamatatizo gani[emoji2][emoji2][emoji2]yaan kuaribu kwa ajili ya pale kati ni rahisi sana
Kwa mimi hili tukio lako likifika kwa jamii ni haibu hasa kwa kuwa unafamilia
Na jinsi mnavyoelekea itajulikana tu.na huyo dem nia yake ni kumuumiza dogo tu hakuna jingine.tafuta siku kadhaa ili umuandae dogo iwapo litafumuka awe kesha jiandaa kwa maumivu
NAKUTAKIA PENZI LA AMANI MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…