Nina uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa mdogo wangu wa Kiume

Ushapasua ndo unakuja kuuliza πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo dem ameamua kukupa ngoma makusudi ili ufe wewe na mdogo wako.
 
Nimekaa nafikiri tabia,akili na malezi ya huyo binti......nimegundua kuna kasoro. Unawavulia nguo mtu na mdogo wake? Wa kwanza ilikuwa 'bahati mbaya' hakujua hana familia! Na huyu mkubwa? Amekubali kuwa mchepuko tena kwa kujirahisi/kujitongozesha!

Ki ukweli pengine anataka kulipa kisasi,haijalishi ameapa kuwa sio kusudio lake. Au ni mseleleko.
 
Huyo binti Malaya wa kiwango Cha lami, jamani Kuna wanawake wenzetu wengine umalaya hupo kwenye damu.
 
Men,
Respect bro codes

No man should date with bros ex
No man should flirt with bros wife
No man should date bros sister

You will creat a chain game that will destroy your marriage trust me bro

Dont choose to example in your vilage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…