Nina ujuzi wa kompyuta na simu, naombeni connections

Nina ujuzi wa kompyuta na simu, naombeni connections

Anchu

Member
Joined
May 9, 2021
Posts
6
Reaction score
0
Me ni mpya naombeni connections Nina ujuzi wa computer na simu pia nna kichwa chepesi naweza fany kazi tofauti.0744801713
 
Kama upo Kariakoo nenda maeneo ya machinga complex. Pale utakutana na wadau mbalimbali wa kada hizo za komputa na simu. Huwezi kukosa chochote kitu
 
Kama upo Kariakoo nenda maeneo ya machinga complex. Pale utakutana na wadau mbalimbali wa kada hizo za komputa na simu. Huwezi kukosa chochote kitu
Nalijua hilo jengo sema pana changamoto sana lakin nitajaribu tena
 
Back
Top Bottom