Mimi ni Me, umri miaka 21. Nina ujuzi wa land surveying
topographic Surveying
engineering surveying
cadastral surveying
..na. Uwezo wa kutumia software kama civil 3d na Qgis. Na vifaa kama level ,total station na gps.
Pia nna experience ya kufanya kazi katika ujenzi wa barabara na upimaji wa viwanja.