Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
World always ins't fair.
Ulimwengu unabadilika kadri ya saa na dakika zikigonga tik tok muda unakwisha, miaka 10 iliyopita nilikuwa kijana wa makamo niliyependa kusikiliza sana hutuba za upinzani (CHADEMA) hoja zao was so emotionally and tactically wakiwa katika viunga vya bunge.
Waliibua hoja nyingi za ufisadi, udhaifu wa Serikali, mabadiliko ya kikatiba na ongezeko la umasikini ambao unazorotesha utolewaji na ucheleweshaji huduma kwa jamii.. hakika was so impressive.
Lakini, kadri siku zinavyozidi kusogea naona this party has been collapse and totally dumped kwa sasa hoja zao zipo based kwenye uzalilishaji, become party for gain than protective, unchanging, poor system of democracy and still propogandize as their best for democracy.
Wanalialia katika vyombo vya habari, media na hawana hata strategies na malengo zaidi ya kula pesa za CCM.
Wako Mtiifu
Mhafidhina