Cc jiwedogoAiseeee pole yake
Ngoja kidogo mpaka x mas ipitenina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
Hiyo paradiso veepeHapana bhana......
Ninaye mmoja tu, ndie ninakulanae paradiso...[emoji39] [emoji39]
Nani muwa nani mtumia muwa kama kongojoTatizo mie muhenga, nina lugha ngumu sana.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usinikumbushe aiseeeee.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ile yenyewe B52 silaha ya maangamizi
AiseeKama sikuweza kuisha 2014, basi ujue ndio nishatoboa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hapoo umeniacha kabisa yaaniUsinikumbushe aiseeeee.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Eti namuona jamaa anavyo jibebisha naye humu kwenye majukwaaaaaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe wahenga wanasemaga, nguo ya zamani = na dekio jipya....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ile bado ninaitumia, ingawa hii ya sasa ndio ya wifi/shemeji yenuSijui alifanya nini hata.. Alikuwa mpole na ile id yake ya dhambi.. Utafikiri Mtakatifu Makrina
Bora tukeshe tu aiseeeee.....Ubuyu wa leo si mchezo,unaweza ukalala ukapitwa na mengi
Hii Naona ndo nzuri bwanaIle bado ninaitumia, ingawa hii ya sasa ndio ya wifi/shemeji yenu
Na bora uendelee kubaki tu, usije ukasutwa bureeeee...... [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hapoo umeniacha kabisa yaani
JamaaniNa bora uendelee kubaki tu, usije ukasutwa bureeeee...... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana aisee,wote mtaondoka mtaniacha hapa
Ebu twende kule tunapo ongea lugha ya kunenaJamaani
Umeanza lini kunitenga lakinii
Poa poaEbu twende kule tunapo ongea lugha ya kunena
Mtani hena nii aha??JF ilivyo sasa hivi huu uzi utafika page ya 10000 hahahahhaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi ukipewa unigawiwe
Uko vizuri shunie[emoji23] [emoji23]hutaki kupitwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]