Sijambo bebe nasubiria umbea wa missBaby wangu hujambo !
Ahahaha utakesha hana ubuyu huyo! Ubuyu raha yake ule na wenzio!Sijambo bebe nasubiria umbea wa miss
Kama nakuona [emoji1][emoji1]Ninong'oneze hebu jamani
Yaan wewe nakugawa ujueTumia X na Y... La muhimu story shougaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hujui pm kwangu au ni kiburi???!!!
Ndo namshangaa ubuyu tu anatudolishia namna Hii je Papa yake huko aliko wanaume wana shughuli sio kwa uchoyo huuAhahaha utakesha hana ubuyu huyo! Ubuyu raha yake ule na wenzio!
Na mimi ukipewa unigawiweShogaangu unapenda ubuyu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Pambana ukipewa nigawie na mie nimumunye
Na mimi carba sawa eenhHuu ubuyu dadake ukuipata usinisahau
Upo mrembo jamaniKama nakuona [emoji1][emoji1]
Nigawe tu mdogo wangu... Si unajua pa kunipeleka eeehYaan wewe nakugawa ujue
Nipo mimi jamaa dada usinisahau katika ulimwengu wa ubuyu [emoji4][emoji4]Upo mrembo jamani
Hilo cheko veepe Shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa hakuna hata dalili ya ubuyuNa mimi carba sawa eenh
Hivi hujui ulivyonichekesha auHilo cheko veepe Shunie
Miss natafuta katokomea na liubuyu lakeNa mimi ukipewa unigawiwe
Kwa kweli Miss Natafuta sijamuelewa ujue yaanHapa hakuna hata dalili ya ubuyu
TehSi ajabu wala hakuna chochote hapa....
Hafai huyu sijui kakimbilia wapiKwa kweli Miss Natafuta sijamuelewa ujue yaan
[emoji23][emoji23][emoji23] ila miss natafuta anajuaga kuteka watuMiss natafuta katokomea na liubuyu lake
We unataka kugongea badala upambane kuunganisha dotsNa mimi carba sawa eenh