Nina umbea wa hatare, natamani nimwambie mtu

Na uzuri wa JF unaweza kukataa lolote aidha liwe la kweli kuhusu wewe au lisiwe la kweli.
 
Hahahaa nipe basi maelekezo uliyopewa na aunt yako, au na wewe hautaki ubuyu? Si umeona wenzako wanapanga foleni wanagombea na kusubiria ubuyu wa Miss Natafuta?
Mbona huitikii shikamoo yangu lakini maelezo ya aunt ni ya ubuyu baba yeyoo ujue ebu tuma jaman ndoo ndogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…