Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
sawangoja kwanza .tatizo sitaki kumuumiza mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawangoja kwanza .tatizo sitaki kumuumiza mtu
Jamaani...ahaaaaa yani acha tu usione watu wanapita barabarani
yaaani ungewajua mmmh ila nimeshangaa sana .watu bwana wanafiki sanaTumia X na Y... La muhimu story shougaa
yaani mtu anakaa na wewe kabisa hivi kumbe anatembea na mumeo bna aaahJamaani...
Mbona hivyo lakinii
Yaani umebamba id zao au veepe shougaa... Mko mtaa mmoja???!!!yaaani ungewajua mmmh ila nimeshangaa sana .watu bwana wanafiki sana
hapo sasa usiulize maanaYaani umebamba id zao au veepe shougaa... Mko mtaa mmoja???!!!
kweli ngoja nipige hela aaah liwalo na liweMtafute yule jamaa anasema,Tunakuona tunakuona"
Hivi hujui pm kwangu au ni kiburi???!!!hapo sasa usiulize maana
mh! ngoja kwanza hapa ntarudi kuangalia mrejesho.yaani mtu anakaa na wewe kabisa hivi kumbe anatembea na mumeo bna aaah
weeee hapana kwa kweli mara paaap ni wewe muhusika .huku watu wana id mia kidogoHivi hujui pm kwangu au ni kiburi???!!!
Sema usiogope sema hahahhhhh JF raha na huzuni sometimes mumo kwa mumo... twende kazi bana!sio maji ya mchezo yaani . wenyewe watanimind wapo humu ila aisee watu wamuogope Mungu
nina umbea wa hatare unawahusu members wawili wa humu .nifanyeje jamani? yaani ni umbea ambao utatikisa humu ,server inaweza kuzima yaani
wee hapana jamani ila nimeshangaa sana.kila mtu anapambana na hali yake .watu w anafiki sana lakiniSema usiogope sema hahahhhhh JF raha na huzuni sometimes mumo kwa mumo... twende kazi bana!
shoga yangu ngoja nije pm nikuambie ila tukishikwa tunalambwa ban ya maisha ujueJF ilivyo sasa hivi huu uzi utafika page ya 10000 hahahahhaah.
Tukijua watajirekebishaawee hapana jamani ila nimeshangaa sana.kila mtu anapambana na hali yake .watu w anafiki sana lakini
😀😀😀😀😀😀😀😀JF ilivyo sasa hivi huu uzi utafika page ya 10000 hahahahhaah.