Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hahamara paaap sakayo ndo muhusika ,watu wana id kibao humu
Siwezi kuwa yeye, sababu moja kuu niko mkoani shougaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahamara paaap sakayo ndo muhusika ,watu wana id kibao humu
Miss natafuta Mungu hapendi ujue...Ndio nijitahidi hapa japo Miss Natafuta naona kama hataki kutoa ushirikiano wa dhati sijui tatizo ni nini hasa
Huu ubuyu dadake ukuipata usinisahauJamaani
Mie niko na id moja tuuuu
HahaHuu ubuyu dadake ukuipata usinisahau
Ukiupata hata ukisema nije nanjilinji naja kwakweli[emoji23]Fanya hima uende pm kwa sakayo anakusubiria kwa hamu sana [emoji6]
Nipo habari ya leoHaha
Upo kweeli
Nzuri mdogo wangu...Nipo habari ya leo
AhahahaaaaaaUkiupata hata ukisema nije nanjilinji naja kwakweli[emoji23]
Aisimamishe tu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]ila mbona kama anazingua na huu ubuyu?Nzuri mdogo wangu...
Miss natafuta ataka isimamisha Jf kwa muda
Ndo kama hivyo bwana... Anazingua kucheza na keyboard!!!!Aisimamishe tu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]ila mbona kama anazingua na huu ubuyu?
Unawajua eeehMember hao wawili mpakq sasa wamesimamisha masikio kama mbwea
Mkuu pengine hawajijui labda wanaimani bado ni siri! Nimechekaaaa eti wamesimamisha masikio kama mbweaMember hao wawili mpakq sasa wamesimamisha masikio kama mbwea
Ukilambwa ban ya maisha tutakuombea msamaha. Tupatie huo umbea mbona hivi Miss Natafuta?shoga yangu ngoja nije pm nikuambie ila tukishikwa tunalambwa ban ya maisha ujue
yaaani acheni tubora ungeuchuna tuu sasa unatuzingua bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisimamishe tu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]ila mbona kama anazingua na huu ubuyu?
Baby wangu hujambo !