Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

Sorry sana ndugu, ila nasikia kuna option ya kuziondoa ama kuchoma sindano zenye dozi za mionzi kila baada ya muda ili kuondoa hivyo viashiria vya cancer, kwa nini huku opt hizo sindano badala yake uka opt kuondolewa kabisa?
 
Muongozo tafadhari,naomba kufahamu hiyo aina ya vyakula navyopaswa kula ili nisitumie TRT yaani vyakula viweze kunizalishia hormones na kusimama kwenye nafasi ya korodani.
 
Sorry sana ndugu, ila nasikia kuna option ya kuziondoa ama kuchoma sindano zenye dozi za mionzi kila baada ya muda ili kuondoa hivyo viashiria vya cancer, kwa nini huku opt hizo sindano badala yake uka opt kuondolewa kabisa?
ni mawazo ya madaktari ndiyo walinipatia hiyo option tena wakiwa wameisha nipasua (surgery) na nilipowaomba waniachie walau moja wakasema wao ndiyo madaktari wanafahamu kipi bora kwa afya yangu 😥😥, sikuwa na chaguzi zaidi ya kuwaacha wafanye kazi yao.
 
Elezea kwa undani zaidi na utuoneshe makundi ya vyakula na uzalishaji wa hormone unakuwaje.
 
Hormonal therapy ndio tiba yako ya kwanza...na hizo injectables ndio zinakufaa kwa hali yako plus ule vyakula vinavyoongeza hizo hormones na kufanya mazoezi
 
Pole sana mkuu
 
Sasa vyakula bila engine ya kuzalisha hormone inakuaje...... Naona jamaa anahitaji hormone direct ila sio vitu vya kusaidia kuzalisha hormone maana mitambo si haipo ya uzalishaji
We fala kweli kweli nimefurahi sana japo inaumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…