Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

inshu hapo ni spiritial husband ndio anaye ondoa hamu ya kukufanya usijisikie ku sex nikawaida yao.hao hadi uwadhibit utaenjoy
 
loh ushalogwa vibaya shosti ila fanya hivi kula sana karanga,maziwa ,parachichi pia bamia na nyanya chungu na asali. fanya kwa mwezi uone itakuwaje
Asante kwa ushauri best
 
inshu hapo ni spiritial husband ndio anaye ondoa hamu ya kukufanya usijisikie ku sex nikawaida yao.hao hadi uwadhibit utaenjoy
Nimeshaombewa lakini bado tatizo lipo,kama kuna sehemu naweza kupata msaada wa kuondoa hili jini mahaba naomba unielekeze. Ila isiwe kwa mganga wa kienyeji tafadhali.
 
Nimeshaombewa lakini bado tatizo lipo,kama kuna sehemu naweza kupata msaada wa kuondoa hili jini mahaba naomba unielekeze. Ila isiwe kwa mganga wa kienyeji tafadhali.
Kweli hili tatizo ni baya sana, mimi limemkuta mke wangu mwaka wa 3 huu. Lakini yeye lilimkuta baada ya kujifungua Na maelezo yako 90% ni kama yeye. Tumehangaika sana hadi sasa anatumia Multivitamin tabs, clomifene citrate na dawa wanazopewaga machizi ila hali bado si nzuri. Hii ni hatari kwa mwenza wako maana usipokuwa makini ataona haumpendi na yeye ataanza kutazama njia yake.
 
Pole sana mkuu,hata mimi dr.wangu alinishauri kuonana na dr.wa magonjwa ya akili ili ikiwezekana nipewe dawa za akili lakini mimi nilimgomea. Kwa kweli ni suala zito kwani naona dalili za kukimbiwa na mpenzi wangu sasa. Anyway ngoja nifate baadhi ya shauri za wadau hapa nione hatma yangu itakuwaje.
 
Shida hapo ni moja kati ya hizi mbili
1.jini mahaba
2.psychological problems
Pia unaweza kuhisi unamfeel ulienae kumbe sivyo.mi ilishawai kunitokea hali km hiyo mpnz niliekua nae alinifanyia kitu fulani cha kuumiza badae yakaisha nikahisi bado nampenda lkn kitendo cha ku do nae kilikua km adhabu kwangu navuta hisia niwezavyo lkn wapi ananianda vizuri tu lkn wapi nilidumu na tatizo for almost 5years.ila kwa sasa tatizo limeisha tu lenyewe baada ya kubadilisha m-sweety
 
Nimeshaombewa lakini bado tatizo lipo,kama kuna sehemu naweza kupata msaada wa kuondoa hili jini mahaba naomba unielekeze. Ila isiwe kwa mganga wa kienyeji tafadhali.
njoo pm
 
Mkuu [HASHTAG]#Ntigy[/HASHTAG] tatizo hilo kama hukuwahi kufanya yafuatayo
1. Kupiga punyeto
2. Kutumia dawa za uzazi
3. Kumeza dawa za kuzuia mimba za mda mfupi kama p2,
4. Kuumizwa kisaikolojia na mwenza wako.
5. Michakato yako ya maisha iko jee.
6. Kutumia pedi zilizopitwa na wakati.
Kuugua magonjwa ya zinaa kwa mda mlefu.



Basi tatizo liko kwa haya yaguatayo
1. Matatizo ya akili, hii hasa ni kushindwa kwa ubongo kuamrisha homoni husika kujiandaa kwa tendo.
2. Utata katika homoni, maanake zinaweza kubalance lakini zikashindwa kutafasiri taarifa itolewayo na ubongo.
3. Matatizo ya kisaikolojia, hasa kwa kuzamia katika vitu fulani ambavyo hupokonya utayari wa akili kufanya upembuzi yakinifu kuhusiana na yendo husika.
4. Aina ya vyakula na tiba unazotumia.
Hii pia inaweza changia katika hili.
5. Fangasi, zipo aina ya fangasi ambazo zinaweza au ziliweza kushambulia maeneo hayo na mwishowe kuathiri mfumo mzima wa via vyako vya uzazi.
6. Kama uliwahi kutumia pia viamba upishi vya ukeni ili kuuweka uke katika hali nzuri ali maarufu viongo.


Kama hayo yoote hayamo

Unahitaji maongezi ya ana kwa ana na mtaalam wa akili, pamoja na mtaalam wa uzazi aweze kukuhoji, pia uwaone wataalam wa kisaikolojia.

Embu ukiusoma ujumbe huu hasa hapo kwenye makisio nipe mlejesho nione namna ya kukusaidia
 
Nguvu za kike hazipo duniani.
 
Asee!
 
Mwanamke nguvu yake ya kike ni uwezo wa kubeba mimba na sii hizo za tendo la ndoa
 
Jaribu mkuu mimi ilibakia kidogo kumkimbia wife, ila maelezo ya daktari ndio yakanipa mwanga kwamba mwenza wangu ana matatizo,

maana mtu unamfanyia kila kitu cha hapa duniani lakini hakuna hata umande, inakatisha tamaa sana. Ila usisahau kunipa mrejesho unaweza kuniokoa na mimi kwenye mji wangu unaofuka moshi.
 
Asante mkuu,majibu yangu yako kama ifuatavyo:-
1.Sijawahi kupiga punyeto
2.Sijawahi kutumia dawa za uzazi wa mpango
3. Sijawahi kumeza dawa za kuzuia mimba
4.Sikumbuki tukio lolote kubwa lililowahi kuitesa akili yangu kiasi cha kuniathiri kisaikolojia.
5.Pedi zilizopitwa na muda wake sina uhakika sana japo huwa niko makini kuangalia expire date
6.Sijawahi ugua magonjwa ya zinaa.
7.Sijawahi kutumia hivyo viungo
8.Nafanya kazi zangu binafsi/nimejiajiri
 
Usimkimbie mkuu,hilo tatizo linatutesa sana. Naahidi kukupa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…