Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

je umeshawahi kuota upo kwenye mahapa na mtu? kama ndio mtafute mshana jr atakusaidia.
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai".
Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo.

Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
kwa uwelewa wangu nilio nao, hili tatizo husababishwa na mambo mbali mbali ila nitasema machache

inawezekana mpenzi uliye nae huna hisia nae, inawezekana unaigiza kumpenda ila kiuwalisia hupendi.

kula vizuri siyo sababu, inategemea na Aina gani ya vyakula unavyo kula, Kuna baadhi ya vyakula vinaweza kusababisha kukosa ham ya tendo hasa vyakula vya fat.

pia kama hulisha wahi kuwa na gender abuse,either ulishawahi kuumizwa au kubakwa (kufanya Sex bila willing yako kwa njia yoyote Ile) hili pia laweza kuchangia kupoteza ham ya tendo.
 
Huna ndoto za kufanya mapenzi unazo pata au kuzaa, kunyonyesha, na vp jamaa una mfurahia wakati wote au akiwa mbali ndio unakuwa na hamu nae sana?
 
Yeah,kwa muda mrefu sana nilikuwa nikiota hizo ndoto za kufanya mapenzi na watu mbalimbali tena wakati mwingine niliota nikiwa kwenye huba zito na wanawake wenzangu. Lakini baada ya kuombewa sana hizo ndoto siku hizi sina na ikitokea zikanijia huwa nashtuka usingizini.
Huna ndoto za kufanya mapenzi unazo pata au kuzaa, kunyonyesha, na vp jamaa una mfurahia wakati wote au akiwa mbali ndio unakuwa na hamu nae sana?
 
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai".
Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo.

Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.

Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!

Umeolewa? kama umeolewa kwa kweli ni changamoto, ila kama sio then what is the problem? utakiwi kutafuta njaa ili ule, unatakiwa ule kwa kiasi unachoitaji kula!
 
kwa uwelewa wangu nilio nao, hili tatizo husababishwa na mambo mbali mbali ila nitasema machache

inawezekana mpenzi uliye nae huna hisia nae, inawezekana unaigiza kumpenda ila kiuwalisia hupendi.

kula vizuri siyo sababu, inategemea na Aina gani ya vyakula unavyo kula, Kuna baadhi ya vyakula vinaweza kusababisha kukosa ham ya tendo hasa vyakula vya fat.

pia kama hulisha wahi kuwa na gender abuse,either ulishawahi kuumizwa au kubakwa (kufanya Sex bila willing yako kwa njia yoyote Ile) hili pia laweza kuchangia kupoteza ham ya tendo.
Sijawahi kubakwa wala kuumizwa sana ile sana katika mapenzi lakini pengine kweli nitakuwa na stress za kutafuta pesa,maana kwenye kusaka pesa huwa naumiza sana kichwa changu.
Stress znchngia...
 
pole sana! kutana na viongozi wako wa dini kwa imani yako wakufanyie maombi labda ni mdudu mchafu ameuvamia mwili wako
 
Back
Top Bottom