Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!

Dada wasikuchoshe humu JF tatizo lako ni dogo sana . Badilisha hiyo avatar yako utarudi normal.. ulete mrejesho..
 
Mmmmh! Avatar yangu inahusiana vipi na tatizo langu?
 
Nijibu maswali haya

1)Huwa unafanya mapenzi mara ngapi kwa wiki

2)Je sehemu mnayofanyia mapenzi kila siku ni hiyo hiyo huwa hambadilishi

3)Style za ufanyaji mapenzi kila siku ni hizo hizo au mnabadilisha?

4)Sehemu gani za mwili wako ukishikwa huwa unasikia raha sana?

5)Je huwa unapata muda wa kupumzika?

6)Je huwa una ratiba za kwenda sehemu kama beach hivi kwa ajili ya ku refresh mind?

7)Je huwa una tumia tumia sana madawa?

8)Umri wako ukoje bado kijana au umri umeenda?

9)Je huwa unaangalia sana mikanda ya ngono??

10)Huwa unatumia sana vyakula vyenye sukari nyingi?

11)Ushawahi kutoa kizazi?

12)Je huwa unaumizwa mara kwa mara na mapenzi?

Nijibu haya maswali machache tafadhari
 
Jarib kutumia vilev vilain kama savanna ama wine
 
Nashauri badili mwanaume,maana huyo uliyenanye yaonekana humfeel kabisa,date new guy then ulete mrejesho
 
Ukiingia kwenye ndoa tu nitaarifu... Lakini kwa sasa bora uwe hivyo
Kiongozi, nitawezaje kuingia kwenye ndoa nikiwa na hali hii? Ili niingie kwenye ndoa lazima niwe na uhakika wa kumridhisha mume wangu na kuiridhisha nafsi yangu pia. Hivyo ni bora unisaidie sasa ili nipate nguvu ya kuingia kwenye ndoa.
 
Samahani lakini huo unaofanya hivi sasa ni Uzinzi...halafu ukapata ujasiri wa kututangazia.... Mimi napenda sana nikusaidie... Lakini katika jambo jema.
 
Huyo dada yuko sahihi kabisa,unadhani kuna mwanaume akimwambia tatizo lake atakubali kmuoa??
 
ushauri ni mdogo tu "PUNGUZA MATUMIZI YA DILDO"toka huko jehanamu

maana wadada wa sikuhizi mnasiri nyingi sana
 
Huyo mdada jamani ana tatizo la jini ashki au jina jingine jini mahaba asikimbilie kutumia hizo Dawa atapoteza pesa na tatizo lipo Pale Pale aangalie ndoto zake,, akilala ziko vipi ajaribu kuwaona wahusika wa maswala hayo.
 
Wacha kupotosha umma.... Jini umeliona wapi?
 
Samahani lakini huo unaofanya hivi sasa ni Uzinzi...halafu ukapata ujasiri wa kututangazia.... Mimi napenda sana nikusaidie... Lakini katika jambo jema.
Mpaka kuamua kujivua nguo hivi halikuwa jambo rahisi, kama unaweza nisaidie ili nipate ujasiri wa kuingia kwenye ndoa vinginevyo katika hali hii siwezi kuolewa.
 
Huyo dada yuko sahihi kabisa,unadhani kuna mwanaume akimwambia tatizo lake atakubali kmuoa??
Asante kwa kuliona hili,kuna watu wanadhani hili ni jambo rahisi tu. Anyway siwalaumu maana usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Huyo dada yuko sahihi kabisa,unadhani kuna mwanaume akimwambia tatizo lake atakubali kmuoa??
 
ushauri ni mdogo tu "PUNGUZA MATUMIZI YA DILDO"toka huko jehanamu

maana wadada wa sikuhizi mnasiri nyingi sana
Sijawahi kufanya huo mchezo hata siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…