kwa uwelewa wangu nilio nao, hili tatizo husababishwa na mambo mbali mbali ila nitasema machacheWahenga walisema "Mficha uchi hazai".
Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo.
Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Yeah,kwa muda mrefu sana nilikuwa nikiota hizo ndoto za kufanya mapenzi na watu mbalimbali tena wakati mwingine niliota nikiwa kwenye huba zito na wanawake wenzangu. Lakini baada ya kuombewa sana hizo ndoto siku hizi sina na ikitokea zikanijia huwa nashtuka usingizini.je umeshawahi kuota upo kwenye mahapa na mtu? kama ndio mtafute mshana jr atakusaidia.
Huna ndoto za kufanya mapenzi unazo pata au kuzaa, kunyonyesha, na vp jamaa una mfurahia wakati wote au akiwa mbali ndio unakuwa na hamu nae sana?
Wahenga walisema "Mficha uchi hazai".
Jamani nisaidieni,mwenzenu sina hamu kabisa ya kufanya mapenzi. Hata niandaliwe vip au nijiandae kisaikolojia namna gani nabaki mkavu na sifurahii tendo la ndoa hata kidogo.
Sio mpenzi wa picha za ngono, sio mlevi wala mvuta sigara, nakula vizuri, sina msongo wa mawazo, vipimo vinaonesha homoni ziko sawa lakini tatizo limekuwa sugu siku hadi siku. Nilienda hospitali sikupata msaada zaidi ya kushauriwa kutumia K-Y gel.
Ndugu zangu kama kuna anayejua matibabu au suluhisho la tatizo hili anisaidie kwani hii hali inanitesa sana. Asanteni!
Sijawahi kubakwa wala kuumizwa sana ile sana katika mapenzi lakini pengine kweli nitakuwa na stress za kutafuta pesa,maana kwenye kusaka pesa huwa naumiza sana kichwa changu.kwa uwelewa wangu nilio nao, hili tatizo husababishwa na mambo mbali mbali ila nitasema machache
inawezekana mpenzi uliye nae huna hisia nae, inawezekana unaigiza kumpenda ila kiuwalisia hupendi.
kula vizuri siyo sababu, inategemea na Aina gani ya vyakula unavyo kula, Kuna baadhi ya vyakula vinaweza kusababisha kukosa ham ya tendo hasa vyakula vya fat.
pia kama hulisha wahi kuwa na gender abuse,either ulishawahi kuumizwa au kubakwa (kufanya Sex bila willing yako kwa njia yoyote Ile) hili pia laweza kuchangia kupoteza ham ya tendo.
Stress znchngia...
Kamuone psychiatry anaeza kukusaidiaSijawahi kubakwa wala kuumizwa sana ile sana katika mapenzi lakini pengine kweli nitakuwa na stress za kutafuta pesa,maana kwenye kusaka pesa huwa naumiza sana kichwa changu.
Nenda muhimbili uliza Mr Lena au kairuki Dr alphage liwaSijawahi kubakwa wala kuumizwa sana ile sana katika mapenzi lakini pengine kweli nitakuwa na stress za kutafuta pesa,maana kwenye kusaka pesa huwa naumiza sana kichwa changu.