Nina uraibu wa kuangalia video za Ngono. Nisaidieni ushauri ili niache

Nina uraibu wa kuangalia video za Ngono. Nisaidieni ushauri ili niache

niache niwe kama vijana wengine
Vijana wengi wanaangalia video za pilau USIOGOPE!

Ushauri wangu ukitaka usijutie wewe jihalalalishie kuzitazama tu baadaye unaona jambo la kawaida

Kadiri unavyotaka kujizuia usitazame siku ukitazama ndio utaanza kuumia na kujuta. Maisha ya majuto ni mateso mdogo wangu

Kwa hiyo ushauri wangu endelea kuzitazama tu usijibanebane mzuka ukija washa data tia VPN angalia mpaka uridhike utakuwa na amani ya akili.

Kitu nilichojifunza kwenye maisha, Porno na nyeto usipambane kuviacha. Kama mwili na akili inahitaji upe raha tia nyeto au tazama porno utainjoi maisha
 
Weka nia akilini mwako kua unataka kuacha, siku ukipata hamu ya kuangalia jitahidi ujizuie usiangalie. Fanya hivyo kwa siku 2 then ya tatu jilipue.

Hivyo hivyo mara kwa wiki jilipue mara moja tu, yaani kikubwa punguza rate ya kujilipua mwisho utaona ni jambo la kawaida na kadri siku zinavyoenda utaacha kabisa.

Ila hiyo ya kujiapiza leo naacha, kudadeki hutakuja kuacha kamwe. Kwanza ikubali hali yako kua wewe ni lofa mraibu wa porn, kisha anza taratibu kutoitilia maanani akilini mwako, utatoboa tu.
 
Mimi ni kijana wa miaka 23, ni muathirika na muhanga wa kuangalia video za ngono, namaanisha "XXX videos".

Natamani kuacha, kila siku nachafua mashuka baada ya kuzingalia napambana sana but nashindwa.

Naombeni ushauri ili niache niwe kama vijana wengine.
Pole sana mzee.. Mungu akipenda akutoe kwenye huo ulevi.. Sio kazi rahisi kuchomoka.. maama ni chakula ya mwili hiyoo.. Mungu akuwezeshe na kukutoa.. Mtiti wa kuchomoka huko sio wa kitoto
 
Ninakupongeza kwa kuwa wazi kuhusu changamoto hiyo unayopitia na kwa kutafuta ushauri wa jinsi ya kuacha tabia hiyo. Kuangalia video za ngono ni hatari kwa afya ya kiakili na kimwili, na inaweza kuathiri uhusiano wako na watu wengine na hata kusababisha matatizo ya kijamii.

Kuna mambo kadhaa unayoweza kufanya ili kuacha tabia hiyo:

1. Tafuta msaada wa kitaalam: Unaweza kutafuta msaada wa mtaalamu wa afya ya akili, kama vile mshauri wa masuala ya kijinsia au mtaalamu wa saikolojia, ambaye atakusaidia kujua sababu za tabia yako na kukupa mbinu za kukabiliana nayo.

2. Panga ratiba yako ya siku: Unaweza kujaribu kupanga ratiba yako ya siku ili kuepuka wakati unaotumia kuangalia video za ngono. Kwa mfano, unaweza kujitengea muda wa kutosha kwa ajili ya mazoezi, kusoma vitabu, au kufanya shughuli nyingine za kujenga mwili na akili.

3. Epuka vitu vinavyokufanya uangalie video za ngono: Epuka vitu vyote ambavyo vinakufanya uangalie video za ngono, kama vile vifaa vya elektroniki, programu, na tovuti ambazo zinakuruhusu kuangalia video za ngono.

4. Fikiria athari za tabia hiyo: Ni muhimu kwako kufikiria athari za kuangalia video za ngono kwa afya yako ya kiakili na kimwili, uhusiano wako na watu wengine, na maendeleo yako ya kijamii na kiuchumi. Hii itakusaidia kuelewa umuhimu wa kuacha tabia hiyo.

5. Jipongeze kila unapofanikiwa: Ni muhimu kujipongeza kila unapofanikiwa kuacha tabia hiyo. Kujipongeza kunakupa motisha ya kuendelea kupigana na tabia hiyo.

Kumbuka, kuacha tabia ya kuangalia video za ngono si rahisi na inaweza kuchukua muda, lakini kwa kujitahidi na kutafuta msaada wa kitaalamu, unaweza kuondokana na tabia hiyo na kuishi maisha yenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom