Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.

Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.

Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.

Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?
1.Kama una umri umefika wa kuoa oa.
Hii itakusaidia kuacha tabia ya kuangalia pic za porno
2.Tumia simu ya tochi kwa muda
Hii itakusaidia sana sababu hautakuwa na simu ya ku-acces internet.
3.Download nyimbo za dini na mahubiri usikilize.
4.Fanya mazoezi kila siku jioni au usiku
Ili urudishe hisia zako na mwili uwe timamu
5.Uspende kukaa pekee yako tembelea marafiki kila mara ...
6.Tafuta rfk wa kike awe anakuja kukutembelea ambae hauna hisia nae
7.Kunywa tangawiz asali na maziwa au tende ukipata.
8.Pika nyanya chungu(ngwogwe) ule asubuhi na jioni...pika 3 na zisiive
9.Tafuta mwanasaikolojia au daktar atakusaidia
10.mwsho ila sio lazima,tafuta demu awe analala kwako siku nzima joto lake litakuamsha,kapime HIV na uache matumiz ya kondomu.
 
Usiogope, hiyo ni kawaida sana na ni kitu cha kibaiolojia kinaeleweka. Kitaalamu inaitwa Porn-Induced Erectile Dysfunction (PIED). Kwa kifupi, ukiangalia video za ngono kwa muda mrefu bila kuwa na uzoefu wa tendo/mwanamke halisi, ubongo wako unakuwa umeathiriwa na nadharia ya mtandaoni ya tendo la ndoa, na hizo ulizozitaja ndio dalili (madhara) zake. Nadharia ya mtandaoni na hali halisi ya tendo la ndoa haviwezi kukaa kwenye ubongo kwa wakati mmoja, hivyo unatakiwa uiondoe nadharia hiyo na akili izoee hali halisi ya tendo. Kuibadili nadharia ya mtandaoni kuwa hali halisi haifanyiki moja kwa moja. Kwanza unatakiwa kuondoa vitazamwa vyote vya ngono nadharia (Picha na video za ngono) kutoka kwenye akili yako, yaani usiangalie kabisa porn videos na wala usijichue (masturbation). Kwa mtu aliyekuwa tayari na uzoefu wa tendo halisi (yaani alikuwa ameoa/alikuwa na mpenzi) kisha akaingia kwenye uraibu huu itamchukua miezi miwili hadi mitatu kuanza kurudia hali yake ya kawaida. Kwa mtu ambaye hakuwa na uzoefu (alikuwa hafanyi ngono) kabla ya kuingia kwenye addiction (uraibu) itamchukua miezi mitatu hadi sita kuanza kurudia hali ya kawaida. Usitapeliwe ukitafuta matibabu kwakuwa huo sio ugonjwa. Zingatia kanuni za afya pia, usiwe na uzito uliopitiliza na ufanye mazoezi ili kusaidia kurudia hali ya urijali wa kawaida.
Shukrani sana kaka na vp kuhusu swala la mahusiano naruhusiwa au ni niendelee kusubili mpaka hiyo miez mi3 ipite ndio nijaribu tendo?
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimekuwa muhanga wa picha za ngono kwa miaka mingi huku nikiwa sina mahusiano mengine maana zimeniathiri kiasi kwamba wasichana wote nawaona wa kawaida tu hata kutongoza kwangu kumekuwa shida sana.

Ila tatizo nimeanza kuliona juzi baada ya kumpata binti mmoja niliemfukuzia kwa miaka mingi, kwanza msichana kaja gheto hata ile mihemko sikuwa nayo pia kavua nguo mimi sistuki naona kawaida yani zile hisia zikaondoka iabidi nipange safari ya ghafla.

Siku nyingine pia msichana kaja nikazuga naumwa so hivi sasa imebidi nimkwepe kabisa ili kukwepa aibu japo akiwa ayupo nikimfikiria tu uume unasimama vizuri shida akija hisia zote uondoka.

Naombeni msaada wa mawwzo yenu kipi nifanye ili nirudi katika hali yangu ya kawaida na pia nikiacha kuangalia Pornography inaweza kunichukua muda gani kurudi katika hali yangu ya kawaida?
Pole sana mkuu
 
Nilikalili hadi ma porn star enzi hizo niko chuo. na tulikua tunaangalia hizo porn kama unavyoangalia tamthilia. Dem akija anauchezea tu wala sio sababu. Utakua na shida zako.
 
Back
Top Bottom