Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

tupe bei ya kila carat kutoka ktka kila 4Cs

C ya kwanza
C ya pili
C ya tatu
C ya nne
C zote nne zikiunganishwa ndio zinazodetermine bei ya Almasi.kila C ina umuhimu wake katika bei na huwezi kuzitenganisha.

Bei ya almasi sio kama dhahabu,maana dhahabu iko kama Usd.Bei yake ni universal mfano 1 gram inauzwa labda 100k.Lakini almasi haina bei maalum bali bei yake inatokana na hizo 4Cs.Jinsi unavyokua na almasi yenye Color nzuri,Carat Kubwa,Clarity nzuri na Cut nzuri ndivyo unavyojihakikishia bei nzuri.

Usishangae ukanunua almasi ya usd 3000 ukauza kwa usd 15000 &vice versa is true.Cha msingi ni kumaster 4Cs
 
amesema milligram sio gram mkuu
 
Hivi almasi inaweza kuyayuka ukiipiga moto??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…