Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.

MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti kama
-Urembo (Hapa tunahusisha pete,hereni,saa nk)
-Kukatia vioo
-Kwenye vifaa vya kimatibabu (Mfano Cancer treatment instruments)
-Kutunza thamani ya pesa

UPATIKANAJI WAKE
Kwa Tanzania madini ya almasi yanapatikana hasa hasa katika mkoa wa Shinyanga eneo la Mwadui,Maganzo katika wilaya ya Kishapu na baadhi ya maeneo ya wilaya ya Kahama.

Japo pia kuna baadhi ya ya sehemu kulisemekana kugundulika kwa madini haya mfano Singida japo sina uhakika sana.

VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA ALMASI

Kabla ya kuingia kwenye biashara hii ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo

i)Kuwa na kibali/leseni
Leseni hii hutolewa kwenye ofisi ya kamishna wa madini ya kanda.Ukifika hapo utapata utaratibu wa jinsi ya kufanya kuweza kupata leseni yako.

Kuna leseni za aina tatu
-Leseni ya uchimbaji
-Leseni ya broker (mlanguzi/kununua na kuuza ndani ya nchi)
-Master Dealer kwa wale wanaohitaki kununua na kusafirisha nje ya nchi

ii) Kitu cha pili cha kuzingatia ni ujuzi na uelewa sahihi wa kutambua almasi halisi na yenye thamani.Hapa nazungumzia namna gani unaweza kuitambua almasi ambayo ni feki na almasi ambayo ni Original.

Lakini pia kujua vitu vinavyoipa thamani almasi yani 4Cs (Cut,Carat,Clarity na Color)

iii) Kuwa na taarifa sahihi za juu ya masoko. Unatakiwa ujue wapi utachukulia mzigo,wapi utakapouza,bei na pia kutengeneza trustable connection kati yako na wauzaji &wanunuzi. Kuwa mwaminifu ndio siri kuu hapa.

BEI YA ALMASI

Almasi haina bei maalumu kama ilivyo dhahabu bali bei ya Almasi inakuwa determined na vitu vinne 4Cs ambavyo ndivyo vinavyoipa thamani. Vitu hivyo ni Carat,Color,Cut na Clarity.Kadri Almasi inapokua na 4Cs nzuri ndivyo thamani yake pia inavyokua kubwa

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200mg
Kwa muktadha huu ni kuwa kadri almasi yako inapokua na uzito mkubwa na bei pia inakua kubwa.Japo kigezo hiki pekee hakitoshi kuipa thamani pasipo kuzingatia Cs nyingine.

Color
Almasi mara nyingi inakua na rangi tofauti tofauti kutoka unjano hadi kutokua na rangi kabisa.Kadri almasi inavyokua colorless ndivyo pia thamani yake inakua juu.Valuable almasi ni ile ambayo haina rangi .

Rangi katika almasi zimewekwa kwenye makundi kutokea D,E,F....hadi Z.

Almasi ambayo ni colorless ni herufi za mwanzoni kutokea D na zinaongezeka rangi kadri unavyosogea herufi Z.

Clarity
Hapa tunaongelea usafi wa almasi (free from impurities).Mara nyingi almasi huwa ina viambata ambavyo huwa vinaitwa Inclusions ambavyo huwa vipo ndani ya Almasi.Almasi ambavyo ina Inclusions chache au isiyokua nazo kabisa inakua na thamani zaidi.

Cut
Katika Cut tunazungumzia shape ya almasi. Almasi ya mviringo iliyobulk(iliyotuna) ni chagua pendwa zaidi kwani inampa mkataji namna nyingi za kuweza kuikata .

Vitu hivi vinne ndivyo vinavyoweza kukuhakikishia bei nzuri ya almasi sokoni.Ukivimaster vitu hivi unaweza kuuza almasi mara 15 ya thamani uliyonunulia

MODE NZURI YA BIASHARA

Mode nzuri ya biashara hii ni kuwa broker.Broker hapa namaanisha kununua Almasi kutoka kwenye machimbo na kuyauza kwenye masoko kadri unavyoweza.

Mode hii ni rahisi kwani haihitaji mtaji mkubwa lakini pia inakupa muda wa kuyatambua vizuri madini na uzoefu katika safari ya kujipanua kuwa Masterdealer.

MTAJI
Haishauriwi uingine na mtaji mkubwa bali anza na kiasi kidogo wakati unagain momentum na kupata uzoefu zaidi. Kwa kuanzia USD 2000 inatosha kabisa.Hii ni kwa broker

LENGO
Lengo la uzi huu ni kutafuta mtu ambae tunaweza kuingia ubia na tukafanya biashara hii kwa uwazi.Kwani nina ufahamu na utambuzi madini haya na pia nafahamu jinsi soko linavyooperate kwa kiasi chake.

Mimi ni kijana ambae nmemaliza chuo hapa Dar miaka michache iliyopita .Nimekulia katika mazingira yenye madini haya (Maganzo).Hivyo ni kitu ambacho niko familiar nacho ila kwa sasa napatikana Dar.

Kutakua na uwazi mkubwa wakati wa kuingia ubia huu na tutafata hatua zote kisheria za kuoperate .Tutakua wote mguu kwa mguu katika kila hatua ya ufanikishaji wa biashara.

Kama uko interested unaweza ukaniPM..Kama una swali au jambo lolote unaweza kuniulizaView attachment 2240627
Nicheki WhatsApp 0746271034
 
C zote nne zikiunganishwa ndio zinazodetermine bei ya Almasi.kila C ina umuhimu wake katika bei na huwezi kuzitenganisha.

Bei ya almasi sio kama dhahabu,maana dhahabu iko kama Usd.Bei yake ni universal mfano 1 gram inauzwa labda 100k.Lakini almasi haina bei maalum bali bei yake inatokana na hizo 4Cs.Jinsi unavyokua na almasi yenye Color nzuri,Carat Kubwa,Clarity nzuri na Cut nzuri ndivyo unavyojihakikishia bei nzuri.

Usishangae ukanunua almasi ya usd 3000 ukauza kwa usd 15000 &vice versa is true.Cha msingi ni kumaster 4Cs
Oya Niko mzigo w almas nifutie soko bc
 
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.

MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti kama
-Urembo (Hapa tunahusisha pete,hereni,saa nk)
-Kukatia vioo
-Kwenye vifaa vya kimatibabu (Mfano Cancer treatment instruments)
-Kutunza thamani ya pesa

UPATIKANAJI WAKE
Kwa Tanzania madini ya almasi yanapatikana hasa hasa katika mkoa wa Shinyanga eneo la Mwadui,Maganzo katika wilaya ya Kishapu na baadhi ya maeneo ya wilaya ya Kahama.

Japo pia kuna baadhi ya ya sehemu kulisemekana kugundulika kwa madini haya mfano Singida japo sina uhakika sana.

VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA ALMASI

Kabla ya kuingia kwenye biashara hii ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo

i)Kuwa na kibali/leseni
Leseni hii hutolewa kwenye ofisi ya kamishna wa madini ya kanda.Ukifika hapo utapata utaratibu wa jinsi ya kufanya kuweza kupata leseni yako.

Kuna leseni za aina tatu
-Leseni ya uchimbaji
-Leseni ya broker (mlanguzi/kununua na kuuza ndani ya nchi)
-Master Dealer kwa wale wanaohitaki kununua na kusafirisha nje ya nchi

ii) Kitu cha pili cha kuzingatia ni ujuzi na uelewa sahihi wa kutambua almasi halisi na yenye thamani.Hapa nazungumzia namna gani unaweza kuitambua almasi ambayo ni feki na almasi ambayo ni Original.

Lakini pia kujua vitu vinavyoipa thamani almasi yani 4Cs (Cut,Carat,Clarity na Color)

iii) Kuwa na taarifa sahihi za juu ya masoko. Unatakiwa ujue wapi utachukulia mzigo,wapi utakapouza,bei na pia kutengeneza trustable connection kati yako na wauzaji &wanunuzi. Kuwa mwaminifu ndio siri kuu hapa.

BEI YA ALMASI

Almasi haina bei maalumu kama ilivyo dhahabu bali bei ya Almasi inakuwa determined na vitu vinne 4Cs ambavyo ndivyo vinavyoipa thamani. Vitu hivyo ni Carat,Color,Cut na Clarity.Kadri Almasi inapokua na 4Cs nzuri ndivyo thamani yake pia inavyokua kubwa

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200mg
Kwa muktadha huu ni kuwa kadri almasi yako inapokua na uzito mkubwa na bei pia inakua kubwa.Japo kigezo hiki pekee hakitoshi kuipa thamani pasipo kuzingatia Cs nyingine.

Color
Almasi mara nyingi inakua na rangi tofauti tofauti kutoka unjano hadi kutokua na rangi kabisa.Kadri almasi inavyokua colorless ndivyo pia thamani yake inakua juu.Valuable almasi ni ile ambayo haina rangi .

Rangi katika almasi zimewekwa kwenye makundi kutokea D,E,F....hadi Z.

Almasi ambayo ni colorless ni herufi za mwanzoni kutokea D na zinaongezeka rangi kadri unavyosogea herufi Z.

Clarity
Hapa tunaongelea usafi wa almasi (free from impurities).Mara nyingi almasi huwa ina viambata ambavyo huwa vinaitwa Inclusions ambavyo huwa vipo ndani ya Almasi.Almasi ambavyo ina Inclusions chache au isiyokua nazo kabisa inakua na thamani zaidi.

Cut
Katika Cut tunazungumzia shape ya almasi. Almasi ya mviringo iliyobulk(iliyotuna) ni chagua pendwa zaidi kwani inampa mkataji namna nyingi za kuweza kuikata .

Vitu hivi vinne ndivyo vinavyoweza kukuhakikishia bei nzuri ya almasi sokoni.Ukivimaster vitu hivi unaweza kuuza almasi mara 15 ya thamani uliyonunulia

MODE NZURI YA BIASHARA

Mode nzuri ya biashara hii ni kuwa broker.Broker hapa namaanisha kununua Almasi kutoka kwenye machimbo na kuyauza kwenye masoko kadri unavyoweza.

Mode hii ni rahisi kwani haihitaji mtaji mkubwa lakini pia inakupa muda wa kuyatambua vizuri madini na uzoefu katika safari ya kujipanua kuwa Masterdealer.

MTAJI
Haishauriwi uingine na mtaji mkubwa bali anza na kiasi kidogo wakati unagain momentum na kupata uzoefu zaidi. Kwa kuanzia USD 2000 inatosha kabisa.Hii ni kwa broker

LENGO
Lengo la uzi huu ni kutafuta mtu ambae tunaweza kuingia ubia na tukafanya biashara hii kwa uwazi.Kwani nina ufahamu na utambuzi madini haya na pia nafahamu jinsi soko linavyooperate kwa kiasi chake.

Mimi ni kijana ambae nmemaliza chuo hapa Dar miaka michache iliyopita .Nimekulia katika mazingira yenye madini haya (Maganzo).Hivyo ni kitu ambacho niko familiar nacho ila kwa sasa napatikana Dar.

Kutakua na uwazi mkubwa wakati wa kuingia ubia huu na tutafata hatua zote kisheria za kuoperate .Tutakua wote mguu kwa mguu katika kila hatua ya ufanikishaji wa biashara.

Kama uko interested unaweza ukaniPM..Kama una swali au jambo lolote unaweza kuniulizaView attachment 2240627
Jamaa mbona haukuweka namba ako hapa nicheki basi tufanye biashara
 
Nadhani ili ku simplify mambo na kupata wadau ni bora ukawaambia unataka / mnataka mtaji wa kiasi gani ili muweze kuanza na uwezekano wa kupata faida ni kiasi gani bila kusahau uwezekano wa kuliwa yaani kutoka kapa...; Vilevile hapo si kuna uwezekano sababu yeye ni finacier akishakuweka mjini na wewe kuondoa ule uhitaji wa yeye kuwepo, ni kipi kinachokuzuia kumpiga chini ?

Ushauri unaonaje kwa uwezo wako wa kupata mali usitafute watafute mali ukawaunganisha ?, Vilevile kwa uwezo wako wa kupata masoko kwanini usiwasaidie wenye mali kuwatafutia masoko ukala commission ? (Au huwezi kufanya hayo mpaka uwe na vibali na leseni)?
 
Aisee nahitaji pia kijana ambae ana uzoefu WA kutambua almasi ambazo hazijasafishwa ili tufanye biashara akiwa huko
Poapoa,kua makini Kuna almasi nyingi za kutengeneza mchina alizimwaga,hata ukipima kipimo kinaitambua ni almasi.
 
Back
Top Bottom