Nina view 300 tu na nina miezi miwili kwene blogging! NAKOSEA WAPI?


Naruhusiwa kukutafuta….
 

Mkuu website au blog
 
Fanya biashara nyingine halafu blogging usiache itafutie muda iwe side hustle ila ukitegemea hiyo tu... unaweza kuwa disappointed
 
Weka plan ya miezi 6 hadi miaka 3. Chini ya hapo unajidanganya hakuna shortcut.
Fanya keyword research kwanza kama lengo ni kuwa na visitors wengi na model yako ya pesa ni kwa kupitia matangazo.
Kama huwezi kupiga story na mtu usiyemfahamu na mkaongea maongezi mazuri jua hata blog yako itakua inaboa. Mara zote sio jambo gani unawaambia watu ni jinsi unavyowaambia watu ndo inafanya watu wakusikilize au wakupuuze.
Kama hutegemei matangazo tafuta bidhaa za kuuza. Mfano kama unaongelea ishu za afya tafuta muuza dawa za asili na uuze dawa zake kwenye ushauri wako kwa wasomaji, sijui umenisoma?

Jia jinsi ya kujibrand na kuwa interesting kwenye post zako. Unadhani Diamond anaimba kuliko mtanzania yoyote? Unaona ni sawa Mandonga kuwa na jina baada ya kushindwa? Tangeneza personality interesting ya kupresent articles zako na visitors wengi wa kujirudia
 

Fuata huu ushauri, halafu urudi Kazini, it will take time before you make money
 
Bwn mdogo itakua motivational speakers walimpoteza,Sasa Ni Muda wake wa kula alikopeleka mboga.
 
Wabongo wanapenda umbea na ngono picha za uchi za watu maarufu hapo utatoboa chap tu mangekimambi kapiga hela kwasababu wa Tz wanapenda ukuda kufatilia maisha ya watu
 
[emoji16][emoji16] Hapendi hivyo Sasa ndio maana kaamua ajiajili mwenyewe
 
Nielekeze inakuaje hiyo
 
Umesema uko kwenye 80s😳
 
andika udaku wa diamond na zuchu ....know your audience hii ndo bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…