Nina view 300 tu na nina miezi miwili kwene blogging! NAKOSEA WAPI?

View attachment 2324432
Mimi ni kijana niaeishi Dar es salaam,Yaah unaweza ukasema n mtu mzima maana niko kwene 80s!!…Nimeajiriwa sehemu kadhaa lakini kwa sasa nimeacha kazi!!

Kwa kifupi sipendi kufanya kazi kwa mtu au institution naona tabu sana habar za kupangiwa,kutumikia mtu, formality,kugombezwa au vile visa vya makazini!!Kifupi napenda kupata shuhuli yangu ambayo inauhuru wa mm ndiye niwe muamuzi!! Kumsujudia boss siwezi yaan hapo tutasumbuana!!

Changamoto ni kua sijui biashara ambayo ndio ingekua inanifit kwa ninachotaka!!
Baada ya kuwaza kwa miezi kadhaa nilikuja na option ya kufanya biashara mtandaoni ambapo ilikua either Youtube au Blog!!
Youtube niliiweka pembeni kwasababu naona kama kuna changamoto fulani hivi kutengeneza video,kuedit,had kua attract viewers!!
Cha pili sielewi youtuber anaeingiza hela nyingi tanzania analipwa sh ngap ili niweze kuona nn anafanya tofauti na pesa inatoka hasa kwene nn viewers wengi au viewers wa wastan targeted,au aina ya topic!!

so nikaingia kwene Blogging!! …Weee!! Lahaulaaaah
Nilichokipata huku n kasheshe maana saa izi niko kwene viewer 300 tu na ni mwezi wa pili!!
Najaribu kushare magrup mengi mengi lakini watanzania kuview vitu serious hawawezi au kunakua na low trafic!!
Plan zangu nilifikiri nipige had miezi mitatu nianze kumonetise lakini naona hali si hali!!

Nimejalibu kufuatilia bloggers wengi wanaotengeneza hela n wale watu /kampunibza habar kama jf,habarleo,nk ambao kifupi wamewekeza hela nyingi

Je kuacha kazi na kujiajiri kama blogger au katka blogging kunaweza kukusaidia kukidhi kipato au ni bora nitafute kazi!!?
Kama kuna mifano halisi mnishauri niifuate nisije potea hasa ukizingatia kunakutumia resources kama muda,fedha na bundle
Bila shaka utakuwa umezaliwa 80's na siyo kuwa una umri wa 80's kama ulivyoandika hapo juu. Hili linaweza kuwa linakupunguzia viewers wakidhani wewe ni kikongwe
 
😂😂😀sasa mkuu blog yangu na umri wangu vinahusika vipi
 
Kama umeamua kwekeza muda online basi fanya kila kitu mzeee freelancing sijui maujanja gani kila kitu fanya,
 
Kama target yako ni watanzani pekee, inabidi contents zako ziwe za kijinga jinga kama umbea, comedy hapo utawakamata chap....! Ila kama ni content za madini target worldwide tumia lugha ya malaika hapo utakua fastaa.! La sivyo hiyo kazi itakushinda....! Ila mkuu hujasema content yako ni ipi inawezekana youtube ungefanya poa zaidi...! Weka wazi content yako tukushauri
Kwa TZ hii yenye Gb 1 kwa elfu 2.. nani aanze kuview video ya dakika 2+.. mtu anaweka bundle la internet kwa ajili ya kuchat na kuview umbea tu.. kuna vitu vingi vya kujifunza katika mitandao ila gavoo imeona tunafaid imepandisha gharama ya vifurush
 
View attachment 2324432
Mimi ni kijana niaeishi Dar es salaam,Yaah unaweza ukasema n mtu mzima maana niko kwene 80s!!…Nimeajiriwa sehemu kadhaa lakini kwa sasa nimeacha kazi!!

Kwa kifupi sipendi kufanya kazi kwa mtu au institution naona tabu sana habar za kupangiwa,kutumikia mtu, formality,kugombezwa au vile visa vya makazini!!Kifupi napenda kupata shuhuli yangu ambayo inauhuru wa mm ndiye niwe muamuzi!! Kumsujudia boss siwezi yaan hapo tutasumbuana!!

Changamoto ni kua sijui biashara ambayo ndio ingekua inanifit kwa ninachotaka!!
Baada ya kuwaza kwa miezi kadhaa nilikuja na option ya kufanya biashara mtandaoni ambapo ilikua either Youtube au Blog!!
Youtube niliiweka pembeni kwasababu naona kama kuna changamoto fulani hivi kutengeneza video,kuedit,had kua attract viewers!!
Cha pili sielewi youtuber anaeingiza hela nyingi tanzania analipwa sh ngap ili niweze kuona nn anafanya tofauti na pesa inatoka hasa kwene nn viewers wengi au viewers wa wastan targeted,au aina ya topic!!

so nikaingia kwene Blogging!! …Weee!! Lahaulaaaah
Nilichokipata huku n kasheshe maana saa izi niko kwene viewer 300 tu na ni mwezi wa pili!!
Najaribu kushare magrup mengi mengi lakini watanzania kuview vitu serious hawawezi au kunakua na low trafic!!
Plan zangu nilifikiri nipige had miezi mitatu nianze kumonetise lakini naona hali si hali!!

Nimejalibu kufuatilia bloggers wengi wanaotengeneza hela n wale watu /kampunibza habar kama jf,habarleo,nk ambao kifupi wamewekeza hela nyingi

Je kuacha kazi na kujiajiri kama blogger au katka blogging kunaweza kukusaidia kukidhi kipato au ni bora nitafute kazi!!?
Kama kuna mifano halisi mnishauri niifuate nisije potea hasa ukizingatia kunakutumia resources kama muda,fedha na bundle
Uko kwene(kwenye) 80s! Ina maana kijana wewe ulizaliwa ukiwa na miaka 100 na sasa umetimiza miaka 80 ni miaka 20 nyuma toka uzaliwe! Hivyo umri wako unarudi kinyumenyume tofauti na watu wengine, huenda hapo ndipo unapo feli.
 
Back
Top Bottom