Nina view 300 tu na nina miezi miwili kwene blogging! NAKOSEA WAPI?

Bila shaka utakuwa umezaliwa 80's na siyo kuwa una umri wa 80's kama ulivyoandika hapo juu. Hili linaweza kuwa linakupunguzia viewers wakidhani wewe ni kikongwe
 
Bila shaka utakuwa umezaliwa 80's na siyo kuwa una umri wa 80's kama ulivyoandika hapo juu. Hili linaweza kuwa linakupunguzia viewers wakidhani wewe ni kikongwe
😂😂😀sasa mkuu blog yangu na umri wangu vinahusika vipi
 
Kama umeamua kwekeza muda online basi fanya kila kitu mzeee freelancing sijui maujanja gani kila kitu fanya,
 
Kwa TZ hii yenye Gb 1 kwa elfu 2.. nani aanze kuview video ya dakika 2+.. mtu anaweka bundle la internet kwa ajili ya kuchat na kuview umbea tu.. kuna vitu vingi vya kujifunza katika mitandao ila gavoo imeona tunafaid imepandisha gharama ya vifurush
 
Uko kwene(kwenye) 80s! Ina maana kijana wewe ulizaliwa ukiwa na miaka 100 na sasa umetimiza miaka 80 ni miaka 20 nyuma toka uzaliwe! Hivyo umri wako unarudi kinyumenyume tofauti na watu wengine, huenda hapo ndipo unapo feli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…