Nina vimba miguu kila siku kwa vipindi. Tatizo nini? Msaada please.

Joined
Dec 18, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Nikiamka asubuhi huwa niko nomal level.
Kadri siku inavyo zidi kusogea ndivyo inavyozidi kuvimba usawa wa vifundo kwenda chini,nikibonyeza kwa kidole hakuna maumivu ila naacha kishimo kama kifuniko cha soda.
Msaada wenu tafadhali.
 
Umewahi kwenda hospitali?Jaribu kupima figo.
 
......una umri gani? Nenda hosp kacheck figo na moyo.
 
Aisee unaweza ukawa umeathirika na kisukari fanya hima kufanya vipimo husika Kabila haijawa too late!
 
Kama unamjua daktari yeyote mwenye at least degree ya med school arakuongoza katika hili!
 
dah! pole. wahi. kama ni figo nasikia inatibika sasa. nenda pale regence hospital utapata maelezo
 
Fata ushauri uliopewa, nenda hospitali kapime kama ulivyoshauriwa,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…