Father Mkananayo
Member
- Sep 6, 2024
- 47
- 89
- Thread starter
- #21
Naunga mkono hojaWe ni mwanamke na nusun
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaWe ni mwanamke na nusun
Wana Nini mkuuSawa ila nyie wasukuma bwana!
Kwakweli sijawahi wala sitegemei wala hainiingii akilini tu kuwaza kumuuliza eti anapata kiasi gani?? Kwanini sasa enheee ndo akishasema anachopata ndo inakua nini sasa??Mama hakuwa na akili hiyo baadhi ya Watoto walipo soma wakataka kujua mzee analipwa ngapi? Aligonga mwamba asee😂😂
Acha kabisa,wazee wa zamani walijua kupambania familia zao,sijui sisi tunafeli wapiAlikuwa noma sana mzee wako asee. Kama Watoto 15 hapo Bado wakuja nao ni lukuki🙌🙌
Mama hata card ya ATM hakubahatika kuiona😂😂Kwakweli sijawahi wala sitegemei wala hainiingii akilini tu kuwaza kumuuliza eti anapata kiasi gani?? Kwanini sasa enheee ndo akishasema anachopata ndo inakua nini sasa??
Mie upande wa maza na dingi sijui ilikuaje ila nahisi ni hivyo hivyo make dingi baada ya kufariki maza akaanza kufatilia mafao....akaambiwa mbona mzee alivuta chake mapema 😹😹😹🙌🙌🙌 wallah ndoa ni forex trade
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huo msako wa mama kibokoMama hata card ya ATM hakubahatika kuiona😂😂
Hii ilitokea kipindi mzee kaa staafu na tukasikia kalipwa mafao yake kama. M30 Sasa mama akataka kujua kama kweli kapewa Kila akiona karatasi anakileta kwangu nimsomee vizuri hata kama haihusiani na Hela.
Mwisho nikamwambia mama tafuta card kama hii bima ya afya ila yenyewe ni blue na imeandikwa NMB hii ukiona Sasa kaa nayo mzee atakuuliza tu.
Alitafuta Hadi akakata tamaa hakuiona😂😂😂
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huo msako wa mama kiboko
Ni vizuri kuwa na kipato chako hata kama ni kidogo, haya mambo tunacheka ila kiukweli ni udhalilishaji waliofanyiwa mama zetu.
Imagine unavochoreka, kujaza madocuments bla bla bla afu unapeleka unaambiwa alishachukua hela zake, sio poa kabisa......
Hahahahah nimecheka sio poa, yaan Mtu mbili tu ndo tukuteke.Mzee wangu ndio alikuwa noma,tulikuwa 15 family members kila siku chai na mikate,nyama mara tatu au nne kwa wiki,hakuna aliyewahi kurudishwa ada,sikukuu wote nguo mpya,kilaza wa mwisho kaishia form four,mimi nina watoto wawili tu ila natamani nitekwe na wasiojulikana nipotelee katavi huko.
RIP mwamba
We acha tu mkuuHahahahah nimecheka sio poa, yaan Mtu mbili tu ndo tukuteke.