Nina vitz yangu; naomba ushauri niiunge taxify au niiunge uber?

Hii ninkawaida ya jf, kila wazo litakalotokea kujadiliwa lazima wawepo wa kukurudisha nyuma na kukukatisha tamaa, hizi ni roho za kishetani , kama mhusika jaribu kuifanya uzione changamoto ukiwa humo.
Sheria ya maisha sio kila anayefanya kitu flani anatoka ndio mana kuna wauza genge matajiri wengine choka, kuna wahasibu matajiri wengine choka, kuna mafundi magari matajiri wengine choka so cha msingi kijaribu tu itafahamika mbele huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…