lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Sheria ya maisha sio kila anayefanya kitu flani anatoka ndio mana kuna wauza genge matajiri wengine choka, kuna wahasibu matajiri wengine choka, kuna mafundi magari matajiri wengine choka so cha msingi kijaribu tu itafahamika mbele hukoHii ninkawaida ya jf, kila wazo litakalotokea kujadiliwa lazima wawepo wa kukurudisha nyuma na kukukatisha tamaa, hizi ni roho za kishetani , kama mhusika jaribu kuifanya uzione changamoto ukiwa humo.