Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

Jamani nimekuwa na my wife, ambaye tumekuwa tukiishi vizuri sana, japo kama ilivyo kawaida katika maisha tumekuwa tukipishana hapa na pale na baadaye tunarudi vema kabisa.... Lakini kikubwa zaidi ni kwamba nimekuwa na nyumba ndogo ambaye my wife hakuwahi kuijua...! Juzi nyumba hii ndogo imenipiga kibuti kikali sana, kitu kilichonipelekea kuumia sana moyoni hadi my wife anashtukia siko sawa....! Sasa nahitaji kupewa faraja juu ya kibuti hiki na wakati mgumu inayonikabili sasa....! Nafahamu fika kuwa ni vigumu mtu kunifariji bila kufahamu vema tatizo linalonikabili....! Sasa nauliza; je hali hii ngumu nimshirikishe my wife, au niitafutie nyumba hii ndogo naye msaidizi?

Hebu usitutingishe na upumbavu wako. Ulipokuwa unatafuta hiyo nyumba ndogo ulitushirikisha? Natamani mkeo ajue nae akutimue ndio akili itakukaa sawa. Msicheze na feelings za watu!
 
Wewe una matatizo makubwa sana......yaani unachanganyikiwa kisa nyumba ndogo!!!
Tulia na mkeo we pimbi!!!!!
 
I doubt thread ya huyu mtu si ajabu kafanya makusudi kuchangamsha jamvi, ndio hawa watu unaweza ukatumia muda wako kumshauri halafu kumbe yeye yuko amekaa tu anakuchora, we really have to learn how to bring out things to the society and the people who surrounds us, being a moron doesn't make you a popular person by bringing such kind of thread it is utterly ridiculous.
 
na hizi thread nyingine mwenzenu kama naota vile, eti amshirikishe wife? kwamba ndio akupe faraja au ndio unataka kumshirikisha ajue ulikuwa na kimada?...pweehhh kuna watu mmepata wanawake jamani na mcwachezee/mcwapoteze kabisa maishanai mwenu coz mie huyu huyo mwanaume wa kunifikiria hata kwa mbali kunishirikisha kweny hii ishu cjui itakuwaje, labda ndio iwe ile kashanichoka sasa tugawane visahani na vibakuli kila mmoja akaanze maisha yake, wanaume wengine hampo serious kabisa hata kwenye maamuzi ya kishetani.
 
nina wasiwasi na ubongo wako.
mungu akusamehe bure
 
I doubt thread ya huyu mtu si ajabu kafanya makusudi kuchangamsha jamvi, ndio hawa watu unaweza ukatumia muda wako kumshauri halafu kumbe yeye yuko amekaa tu anakuchora, we really have to learn how to bring out things to the society and the people who surrounds us, being a moron doesn't make you a popular person by bringing such kind of thread it is utterly ridiculous.

kwa kweli...ungekuwa karibu yangu ningekushumu! haiingii ubongoni hata nukta.
 
yani mi najuta hata nilifungua hii thread ya nini kaniharibia sikuuu..
hebu imagine unafanya uchafu wako huko afu unajiuliza umshirikishe wife..hee!!ina mana ushamchoka sasa unaye wa nini si umwambie aende zakee...haaa!!kwanini kujilazimishaaa..mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii arrrrrrrrrrrrrghhhhhhh..hebu nitoke mie nisije pandisha kisukari
 
Usihangahike bure wala sioni haja ya huyu mtu kukuharibia siku yako hebu rudia kusoma thread yake vizuri utagundua tu kuanzia mwanzo hadi mwisho alichoandika ni uongo mtupu nafikiri JF ingekuwa mtu unalipia sidhani kama wangekuwa wanafanya huu upuuzi
 
So unaomba ushauri ukijua unaomba ushauri wazinzi au?
I hope wazinzi wata kushauri vyema
 
Great thinkers! Jifunzeni kutofautisha mtu anayetaka kujifurahisha na kuwa-enjoy wana jamvi na yule aliye serious. Huyu jamaa wala hayajamkuta hayo aliyoyaandika bali anataka tu kuwadhihaki. And it looks like most of great thinkers have been trapped in this crap.
Think greatly!
 
I doubt thread ya huyu mtu si ajabu kafanya makusudi kuchangamsha jamvi, ndio hawa watu unaweza ukatumia muda wako kumshauri halafu kumbe yeye yuko amekaa tu anakuchora, we really have to learn how to bring out things to the society and the people who surrounds us, being a moron doesn't make you a popular person by bringing such kind of thread it is utterly ridiculous.
Huyu jamaa hii stori kaitunga, hata mimi nimeanza kuingiwa na shaka!!
 
dats y naipenda jf, jamani vitu vingine kabla hujaomba ushauri fikilia je? suala lako linatoka wizara ipi ya ubongo, is it wizara ya kimungu au kipepo. Then ndo uiweke hapa
 
Huyu jamaa hii stori kaitunga, hata mimi nimeanza kuingiwa na shaka!!
Mkuu ndio maana nikawaambia watu tu warudie kusoma thread utagundua kuwa ni uongo na upuuzi mtupu, halafu hawa ndio wale watu siku wakikutwa na tatizo lenyewe akiomba ushauri watu watamu-ignore kwa kuwa watajua ni kawaida yake kuleta longolongo.
 
Back
Top Bottom