Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke yaani wanawake wangu watano.
Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.
Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.
Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.