Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh kwa mwezi ni kama milioni 120! Sasa wewe mapato yako ni kiasi kama 200milioni,Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.
Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.
Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.
Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
sawa mtaniYaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.
Kila mmoja nampa milion 6 ya matumizi madogo madogo tu Kila wiki na hawa wote walikua bikra nimewatoa Mimi sababu tajiri siwezi kula mwanamke ambae sio bikra.
Aisee nashangaaga wanawake wanaokaa na wanaume masikini unakuta kabinti kamechoka yaani huwa navioneaga huruma.
Kuna kimoja nilikipa hela kikajua nakitaka tatizo hakikua bikra nikakiambia nenda katumie na bwana hiyo pesa muifanye mtaji hivi nyie wanaume mafukara kwanini hamtunzi mademu zenu wanatusumbua sababu wana njaa sana.
Tafuta hela zako acha kufuatilia pesa za matajiriMhhh kwa mwezi ni kama milioni 120! Sasa wewe mapato yako ni kiasi kama 200milioni,
Hiyo pesa ni sawa na malipo ya miahahara ya, kampuni ndogo yenye wafanyakazi 40+!
Cha ajabu hujasema unafanya biashara gani, unauza bidhaa gani, una kampuni?
Hata dangote kwa nyumbani kwake hatumii milioni 100 kwa mwezi tu! Na huyo ni tajiri namba moja Africa, sasa, wewe kenge magamba ni "tajiri "wa, wapi?
May be makaburini!
Tafuta helaHongera naona umeshajipataUmri gani sahihi kupata mtoto?
Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado maaana nakua na mawazo sana ya kupata moto na kuweka maisha yangu vizuriwww.jamiiforums.com
Kidukulilo umeibuka tena,tuli kumiss sana, vp ulikua Mamtoni!!??Yaani katika kitu nakiheshimu hapa duniani ni kumtunza mwanamke sababu mwanamke hatakiwi ateseke yaani wanawake wangu watano.