Nina wanawake watano, kila mmoja nampa Tsh. Milioni 6 za matumizi kila wiki

Hongera naona umeshajipata
 
Mhhh kwa mwezi ni kama milioni 120! Sasa wewe mapato yako ni kiasi kama 200milioni,
Hiyo pesa ni sawa na malipo ya miahahara ya, kampuni ndogo yenye wafanyakazi 40+!
Cha ajabu hujasema unafanya biashara gani, unauza bidhaa gani, una kampuni?
Hata dangote kwa nyumbani kwake hatumii milioni 100 kwa mwezi tu! Na huyo ni tajiri namba moja Africa, sasa, wewe kenge magamba ni "tajiri "wa, wapi?
May be makaburini!
 
sawa mtani
 
Tafuta hela zako acha kufuatilia pesa za matajiri
 
Tafuta hela
 
Kidukulilo umeibuka tena,tuli kumiss sana, vp ulikua Mamtoni!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…