Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

You are such a selfish sick man🤬! Yaani baada ya kumpotezea mtu muda wa miaka mitano,narudia miaka mitano hata nafsi haikusuti kuja kuomba ushauri hapa na kusema kwamba unaona mwanamke mwengine anakufaa kuliko yeye.Sio tu umempotezea muda wake bali pia umri wake umeenda na yote kwaajili yako wewe ikisha ndo kwanza unaenda kutafuta mtu aliyekuwa 7 years younger than you and her.You just disgusted me!!🤮

Kwa uelewa wangu mpaka sasa huyo mwanamke unaemuona anakufaa kwenye macho yako huyo mwanachuo ndio hakufai,soma na uelewe HAKUFAI.Huyo aliyekuvumilia na mlokuwa pamoja kwa muda wa miaka 5 ndio mke wako,ilobakia umuoe tu uhalalishe usitafute visababu sijui mguu moja mfupi au mwengine mrefu.Na je hukumuona tangia mwanzo kama ana kilema?Au unapelekeshwa na tamaa tu!!

Ndoa inahitaji maelewano na uvumilivu huyo mwanachuo hakupi vyote hivo sasa sijui unataka tukuambie nini!Hujamuoa tayari anakupelekesha puta,ukimuoa je?

NB:Wazuri kila siku wanazaliwa so huyo unayemuona kakamilika sasa baada ya miaka 5 nae utamuona takataka.So tumia akili na busara ukifanya maamuzi yako!
 
Ipo siku JF mtu ataleta mada ya kuomba ushauri:

Bhana ehee! Mimi ushauri wangu hapo, chukua 7M uwekeze kwenye forex na 3M ingiza kwenye betting. Au kama vipi kwenye 7M punguza 3M ili uwekeze kwenye cryptocurrency. Amini amini nawaambia, ni waoga wa maisha ndio huwekeza kwenye biashara za mazao! Mambo ni forex bhana! Mmemsahau Kijana Mdogo wa miaka 23, aka ONTARIO alivyotuonesha mamijumba yake ya nguvu na ndinga za adabu?
 
Umri huo bdo vtu vinakuchanganya ivo?
 
Hao wenye mguu mmoja mfupi zamani tukiwaita Sonny,muoe sonny we doho
 
Yaan ww ni kilaza wa mwisho hivi unawajua vizur wanachuo ww? Eti kabila tunafanana akili mnafanana pia, five years unamchanua tuu A sahv ndo unaona anakasoro yaan ukimuacha Mwenyez Mungu akuchagulie adhabu kali usiisahau mpk wafa
 
Wewe unaacha msichana wa maana kwa sababu za kipuuzi

Nitarajia useme huyo A unamuoa lini?

Kwa jinsi navyoona mimi wewe unaruka mkojo unakaja kinyesi.

Kwenye uzi wako unajaribu kuonyesha huyo B ndo sahihi lakini ukweli upo pale pale mwanamke wa kuoa ni huyo A sasa wewe mchukulie poa tu kisa umedumu nae mda mrefu basi unamuona fara sio sahihi

Jichanganye kwa hiyo B utaleta mrejesho soon humu.
 
Mmmh ndo ina mambo mengi, sio mvuto tu wa mtu, akili, mawazo, uvumilivu, hekima, uwezo wa kukulea na kulea watoto wenu, usimwache mtu ambaye unaona pamoja na kwamba una mtu mwingine anakupa raha lakini bado unahisi kupungukiwa.....oa binti mdogo, kabila moja ndo utajua imechagua nazi mbovu
 
Mwanaume msimamo we huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…