Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

Yan umedumu na mtoto wa watu kwa miaka mitano mkasomana tabia na ukamuona anakufaa,leo hii unaona bora huyo mwanachuo ambae hata nyendo zake huzijui?

Na kama tokea awali ulikua na malengo ya kuoa mtu wa kabila lako hukujua A sio kabila lako?

Kuhusu changamoto ya maumbile ya miguu nadhani uliijua mwanzon kabisa wa mahusiano yenu,sijui ulikua wapi kukosoa Leo hii umepata mwanachuo ndo unaanza kuyaona hayo.

Pia suala la umri wako na A haukuujua mapema?Kua makini unaeza jikuta unawapoteza wote.Hadi sasa A akipata mwingne anaeeleweka na mwenye mtizamo chanya atamkubalia mana ameshakata tamaa na wewe kwa vitendo vyako.

Then umekiri A alikuvumilia tokea enzi huna kazi ad leo.Huoni huyo ni mwanamke mvumilivu?Pia hakutegemei ni mpaka wewe uamue kumpa mwenyewe.Napo mkipata tegemezi mnanungunika.sasa uko upande gan yan hueleweki
 
nyie ndo mnasababisha tuendelee kuwachukia wanaume?? sasa km ulikuwa huna mpango nae kwann ukamlead on kwann
Tatizo tukiwaambia ukweli kiwa tunataka kisasambua mbususu mnasema tunawachukulia nyie kama malaya
 
Jamaa mwanamke wakugegedanyeye anataka amfanye mke🤣🤣🤣🤣
 
Hata tukikushauri najua utaoa huyo wa 2 kwa sababu kwa saikolojia inavinavyoonesha unamkubali huyo wa 2 zaidi. Ukioa wa2 yatakutokea mambo yafuatayo
1.Utaoa ila unaweza usipate mtoto kabisaaaa au
2.Atakufanyia kitu ambacho hutakaa ufikirie kuoa tena(kwa uzoef wangu waliofanya kama wewe ndo yanayowapata)
Jamani wanawake tunakwama wapi? Uchumba wa miaka mitano sio uchumba ni ndoa hiyo. Mimi nimedate na mume wangu mwaka mmoja tena hapo ni kwa sababu mimi ndio nlikuwa na mwambia subiri kwanza lengo likiwa ni kumpa nafasi ya kuclear past yake, na wakati huo wote hakuwahi kunigusa kimwili, kunipiga mzinga au kunikwaza kwa nini? kwa sababu alikuwa anatafuta mke kweli, na alijua kabisa mimi sio new brand nlikuwa over 28. Naishi maisha ya furaha kwa sababu sijawahi kutafuta kasoro, kasoro za wanadam hazikosekani wewe Leo hii mtu anaanza kusema mwenzie ana mguu mfupi, siku ataoa yeye aambiwe ana kiba100 ndo ATAJUA HAJUI.
 
Usiache mbachao kwa msala upitao[emoji2440][emoji2440]
 
Kwa maelezo yako inaonyesha wazi umeshapanga nani wa kumuoa hivyo sioni cha kuchangia.
 
Mkuu huyo B unahisi unampenda kwasababu kakutengeneza kisaikolojia. Izo kuachana na kurudiana ndio zinafanya upendo uongezeke yani anakupa tabu ya kummisi tofauti na A ambae kila ukimtaka yupo anakuheshimu ko unaona kama ni kondoo ivi chochote utakacho anafanya. Ila utamkumbuka A mkuu.

Mi nakushauri uwe na A, wewe ni wa ajabu sana yani unamuacha anaeweza kukuoiga tafu ukikwama unaenda kwa tegemezi. B atakuacha baada ya miez 6 ya kuishi pamoja.
 
We jamaa unakwenda kwenye uzee lakini bado unajiona kama uko kwenye 17. Bado hisia na matamanio vinakuendesha. Huna upendo wowote kwa B. Ila nguvu ya tamaa ñdiyo inayokusukuma kumuona A hafai. Wanaume wenzako uwa wanatambua kutofautisha upendo na tamaa. Ukiruhusu A kuondoka, utajuta maisha yako yoooooooote. Wale wanaosimuliaga wamepoteza dhahabu na kuchukua jiwe ndio wewe.
 
Daaa Aiseee Kwa akili hizo broo hutoboi et umwache A Kwa sababu za kipuuzi tu aaaaa weee

Mimi Nina N wangu tupo kwenye relationship for 6 years since old school anauvumilivu sana she deserves to be my queen nimekutana na makuru membe kibao ndani ya mwezi tu nikaona mbele kiama Bora nirejeshe majeshi now nimetulia tu namsubiria N wangu awe future wife

Amini nakwambia mwana kuli find mwana kuli get!
 
COMRADE USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
 
Nenda kakanyage kitambaa cha bulldozer naona akili yako ina mapepo ya makengeza, kama wewe hujielewi unazani nani atakuelewa au umetumia weed wakati unaandika.
 
Inaonyesha huyo b ni mzur kuliko A na uko kimatamanio na A ni unampenda kweli ila ujatambua ilo ..na ndio wife material coz kakuvumilia na hana mda na ela zako ..ila huyo B fanya awe nyumba ndogo tuh
 
Natamani nikushauri ubakie na A ila kwa maelezo yako, ukiamua kubaki nae utamtesa sana maana inaonekana kwasasa humpendi tena na huenda sababu umeanza kupata viji-cents huoni tena umuhimu wake, ila utakuja kumkumbuka sana baadae na wakati huo utakuwa umechelewa!!
Kwahiyo miaka yote hiyo toka wakati unamtongoza hadi mmeanza mahusiano huo mguu ulikuwa huuoni kama ni mfupi kidogo??

Sahivi kwavile umeshaanza kuchunwa na vitoto vya chuo umeanza dharau na kumuona hamuendani, hivi kama ni mtu msieendana mahusiano yenu yalifikishaje miaka yote hiyo??
What's goes around comes around!!
 
Kuna dhambi nyingine nazani lazima mhusika asamehewe tu ata akikutoa ndondocha, unazingua mkuu unaona miaka 5 kawaida tu na tatizo la mguu kua mfupi hukuliona tangu mwanzo jaribu kuheshimu wanawake basi
Dogo fara huyu
 
Muache boya ajimix aoe slay queen! Kuna pimbi nahisi zimezaliwa na defect kwenye chipset zao! Mwanamke urembo huisha ila kero zake ni za kudumu 😂😂😂 ila maboya sikuzote wanachaguaga urembo na kero za kudumu mwishowe wanatutesa na offer za bia kwenye bar wakitafta ushauri!

Sasa dume zima linauliza kwamba liachane na wife material aende na katoto ambako taste yake ya wanaume ni tofauti kabisa na yeye! Mwanamke kwenye uchumba tu mnaachana na kurudiana like a joke halafu unawaza umuoe for cheap reasons😅!

Hawa wanawake watoto wa 22-24 yrs taste zao hubadilika with time mpaka afike 26 ndio anakuwa amechagua mtu wa ku settle nae😅 na by that time atakuwa sio wewe! Sasa ole wako uwe ulishamuoa haraka haraka ndio utajua hujui!
 
H
Hahahahah nakubaliana na wewe by 100% mtoa mada ni kenge! Can i get an Amen?
 
BHahaha aoe huyo B halafu alete mrejesho baada ya miezi 6 maana hata mwaka hautaisha 😅😅😅
 
Bro.. Namashaka na uelewa wako upo, Soma uziwako vizuri kwa makini tena taratibu kisha utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…