Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,734
Reaction score
1,709
Ni muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao! Zaidi kilichopo ni kutafuta Kick!

Watoto wote wa zari tunaodanganywa kuwa ni wa Diamond, Sidhani kama ni wake kweli, ila nafikiri wale ni watoto wa Mume wake Zari!

Hivyo Zari hadi sasa bado yupo na mume wake kama kawaida! Na mwisho wa siku lazima watakuja kurudiana!

Nafikiri kuwa wapo pamoja ili kutengeneza jina, na si kwa mapenzi! Kwa walio wazuri kwenye kufikiria na imani watakuwa wameanza kustuka.

Ngoja tuendelee kutizama movie hii tutaona mwisho wake.
 

Attachments

  • Mdhamini+mbagala+20170125_133051.jpg
    15.6 KB · Views: 238
Ukishajua itakusaidia nini? Hivi unapofuatilia mambo ya watu,wakati huo mambo yako hufanywa na nani?
 
Hewa wewe.
 
Tuko na kwenye madawa ya kulevya kick za diamond na zari hazina mashiko kwa muda huu nenda madale kawaulize kama huwa wanaunganisha vikojoleo vyao !
 
Sasa hayo mambo ni ya kuongelewa na mwanaume kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…