Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Nina wasiwasi 99% kuwa Diamond na Zari wanatudanganya

Kumbe tupo wengi wenye mtazamo aina moja… likes
 
Usitutoe relini.

Tupo busy kufatilia ishu ya Manji.
 
Chuki na uwivu utakuuwa walahi!
 
Yani hii nayo kali yani umwache mkeo agegedwe na mtu mwengine kisa kutengeneza Jina lazima Ivan atakuwa hayuko Sawa kichwani.
 
Hivyo Zari hadi sasa bado yupo na mke wake kama kawaida! Na mwisho wa siku lazima watakuja kurudiana!
 
Back
Top Bottom