Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao! Zaidi kilichopo ni kutafuta Kick!
Watoto wote wa zari tunaodanganywa kuwa ni wa Diamond, Sidhani kama ni wake kweli, ila nafikiri wale ni watoto wa Mume wake Zari!
Hivyo Zari hadi sasa bado yupo na mume wake kama kawaida! Na mwisho wa siku lazima watakuja kurudiana!
Nafikiri kuwa wapo pamoja ili kutengeneza jina, na si kwa mapenzi! Kwa walio wazuri kwenye kufikiria na imani watakuwa wameanza kustuka.
Ngoja tuendelee kutizama movie hii tutaona mwisho wake.
View attachment 470888
WE NAYE ?Ni muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao! Zaidi kilichopo ni kutafuta Kick!
Watoto wote wa zari tunaodanganywa kuwa ni wa Diamond, Sidhani kama ni wake kweli, ila nafikiri wale ni watoto wa Mume wake Zari!
Hivyo Zari hadi sasa bado yupo na mume wake kama kawaida! Na mwisho wa siku lazima watakuja kurudiana!
Nafikiri kuwa wapo pamoja ili kutengeneza jina, na si kwa mapenzi! Kwa walio wazuri kwenye kufikiria na imani watakuwa wameanza kustuka.
Ngoja tuendelee kutizama movie hii tutaona mwisho wake.
View attachment 470888
We fala, wewe ungekuwa hutaki kujua ungecomment hapa!!?Ukishajua itakusaidia nini? Hivi unapofuatilia mambo ya watu,wakati huo mambo yako hufanywa na nani?
Waliokuleta ujinga wameketi wanaangalia kwa mavi walokuachia kichwani! Wakeup jamaaView attachment 470897
Ndo maana siku hizi mademu wanasumbuliwa sana na stress!! Eti ndo unakuta boyfriend wake mtu huyu!!!
We kiazi tafuta njia za kukuingizia kipato badala ya kupoteza muda wako kufuatilia maisha ya watu,umri unakwenda na hautorudi nyuma,wenzako wanawaza mambo ya kimaendeleo wewe unawaza kufuatilia mapenzi ya Diamond na Zari? Khaa! Huoni haya wewe?!! Try to mind ur own business.We fala, wewe ungekuwa hutaki kujua ungecomment hapa!!?
Mkuu bora umwambie na wewe huenda akakuelewa.Mtoa Mazda huna kazi inaonekana maisha yako ni kufuatilia fulani kala nn anavaa nn.....amka tafuta au jiajiri uwe busy umbea sio dili
Dada unaonekana utakuwa umekurupushwa guest na mume wa mtu manake si kwa mapovu hayo!!!Waliokuleta ujinga wameketi wanaangalia kwa mavi walokuachia kichwani! Wakeup jamaa
Wish I knew ur gender. Hata km ndio celebrities this is too much...na unaowachimba hivi hawajui km huku duniani kuna mtu km ww ila ww unajua kuwa they exist. Na hapo usikute hujawahi hata kuwaona...poleNi muda sasa umepita huku kila mtu akiendelea kucheki haya mapenzi ya Staa wa Bongo na huju Jimama Zari. Kimsingi mimi naona kama wanatuactia tu na kiundani ni kuwa hakuna mapenzi yoyote kati yao! Zaidi kilichopo ni kutafuta Kick!
Watoto wote wa zari tunaodanganywa kuwa ni wa Diamond, Sidhani kama ni wake kweli, ila nafikiri wale ni watoto wa Mume wake Zari!
Hivyo Zari hadi sasa bado yupo na mume wake kama kawaida! Na mwisho wa siku lazima watakuja kurudiana!
Nafikiri kuwa wapo pamoja ili kutengeneza jina, na si kwa mapenzi! Kwa walio wazuri kwenye kufikiria na imani watakuwa wameanza kustuka.
Ngoja tuendelee kutizama movie hii tutaona mwisho wake.
![]()
Wish I knew ur gender.